chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Atumie tu ndege , sie hatutaki foleni uchwara
Uchumi wa Kati uchumi mama leo amesema umeshuka na hataweza ongeza mishahara!!!Mtoa mada mimi binafsi natumia ndege kuliko gari sembuse Rais? Tuachane na mawazo ya kifukara nchi iko uchumi wa kati
Mwenda zake sio Kama alikuwa anabana matumizi Ila mitikisiko ya angani angeweza kupata heart attackItakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais....
Hivi mwendazake alibana matumizi yapi, msafara wake tu,na walinzi,mahelkopita , kwa msafara ule wa mh SSH pamoja na kutumia ndege wenda gharama zipo chini,mtu anakaa chato na watu wake siku kibao alafu mnasema kubana matumizi,ni Mara kumi kikwete akisafili Mara nyingi nje ya nchiItakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais...
Acha wivuItakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais....
Kwani mawaziri wanafanya nini,? Urais sio kutumia mabavu na kutafuta sifa Kama mwendazake, Sasa yote kwa yote kafanya nini, kipindi chake ufisadi imekua maradufu tangu nchi imepata Uhuru sema tu sijui alikwisha waroga kila kitu kushangilia, ila tunamshukulu kwa kuacha ametuaribia uchumi, mifumo, na mshikamano Kama Taifa,Mkuu wa wilaya atasimamia SGR? Kiongozi Bora ni yule anayejishusha na kwenda kwa wananchi kujionea mwenyewe hali halisi na utendaji wa viongozi aliowateua! Wewe unadhani asipowatembelea hao wakuu wa mikoa na wilaya watafanyakazi inavyopaswa Siku zote??matokeo yake ndio yale ya wizi na ubadhirifu wa Mali ya umma!
one one
Bado uko katiUchumi wa Kati uchumi mama leo amesema umeshuka na hataweza ongeza mishahara!!!
usafiri wa gari ni rahisi kuliko ndegeHivi mwendazake alibana matumizi yapi, msafara wake tu,na walinzi,mahelkopita , kwa msafara ule wa mh SSH pamoja na kutumia ndege wenda gharama zipo chini,mtu anakaa chato na watu wake siku kibao alafu mnasema kubana matumizi,ni Mara kumi kikwete akisafili Mara nyingi nje ya nchi
V8 zinatumia mafuta kidogo sana especially zikiwa zinakwenda bila foleni. Nadhani hilo linafahamika. Ndege inagharama zake ingawa ni nafuu inakwenda na muda sana.Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Hili siyo kweli! Huwez kufananisha ule msafara kwa mizania yoyote ya gharama iwe sawa na sasa. That one was more than terrible. Niliona kwenye you tube(sijajua aliiweka nani), Tanzania tulikua ndani ya TOP 5 ya nchi zenye Marais wenye msafara mkubwa na ulinzi mkali. Hatusemi ni jambo baya kua na ulinzi mkali kwa viongozi wetu, ila kwa muktadha wa ulinganifu kati ya mama na mzee(R.I.P), mzee alitisha kwa msafara wenye gharama.Umejibu swali lake vibaya, kijuaji na kumbe ni mtupu tu. Hiyo unayoita “holistically” ina-kuwa tu katika mji husika na kwa mfano Mwanza leo. Huwezi kusema Shinyanga au Musoma hawaendelei na shughuli zao!! Gharama za kutumia ndege pia ni zaidi ya barabara tu kwa sababu wale waliopaswa kuwa katika msafara bado watakwenda kwa ndege au barabara LAKINI na magari yao. Kwenda kwa ndege hakupunguzi idadi ya magari yanayohusika na msafara wa Rais. Kuna kitu kinaitwa “last mile”. Hiyo haitafanywa kwa ndege!!
Tuzoee hili - ziara za taasisi hii zina gharama kubwa. Ni sehemu ya kazi.
Yanatumika, kwani PM, VP hawatumii au zamani walikua hawatumii kwa kiasi? Jibu ni ndiyo walitumia, kwa sasa ndiyo pia mama anatumia, lakini kiasi kidogo sana. Helicopter haitumiki, convyoy imepungua na ile kusubiri sana misafara kumepungua. Anyway, kila mtu ana style yake ya kuongoza!Nani kawaambia yale magari ya kifahari hayatumiki sasa hivi? Utofauti ni kuwa sasa hivi yanaenda binafsi bila kuongozana na Rais.
Uongo mtupu.Msafara wa V8 sitini (60) gharama zake huwezi linganisha na gharama ya kutumia Ndege anayopenda kutumia Rais SSH kwa kuwa gharama ya Airbus ni kubwa kulinganisha na hizo V8 kwa mfano
Mafuta ya ndege Mluko moja wa kwenda tu si chini ya lita 6,000 za mafuta kwa ndege anayotumia SSH x 2 =12,000 LT kwa sector DOM/MWZ/DOM
Kuna gharama za air navigation as per maximum takeoff weight of aircraft
Kuna gharama za Aircraft packing as per aircraft weight
Gharama ya handling eg swisport
In short kutumia barabara is cheaper than using A/C
Hapo sasa! Labda wana miss kupunga mikono, vigelegele na kushinda barabarani au kuwekwa foleni na kufanya siku iende taratibu, labda zile fagia fagia IST barabarani wanazimiss, labda ving'ora na mikogo ya wanausalama barabarani ilikuwa burudani! Au kugawa michuzi barabarani?!Mwendazake alikuwa anatumia misafara ya magari karibia 50, ukifanya cost analysis, Dar-Dodoma-Mwanza-Chato ilikuwa ghali sana hasa kwa night allowances.
Wafaidika wa misafara wanaisoma namba.
Sasa mama kaamua kutumia ndege, nalo kosa, tunawazia gharama, basi mie nafikiria atumie bajaj na bodaboda! 😆
Au mkokoteni wa punda.
Everyday is Saturday................................😎
Waathirika wa safari za ndege za mama ni wale waliokuwa wanazurula na mwendazake kwenye misafara, wakila mihela ya kodi zetu bila huruma,Hapo sasa! Labda wana miss kupunga mikono, vigelegele na kushinda barabarani au kuwekwa foleni na kufanya siku iende taratibu, labda zile fagia fagia IST barabarani wanazimiss, labda ving'ora na mikogo ya wanausalama barabarani ilikuwa burudani! Au kugawa michuzi barabarani?!
Ila ebu tupate majibu, ipi nafuu? Misururu ya magari na kupotezeana muda mijini au ndege afanye yake fasta bila bugudha kwa wenye vyombo vya moto au watoto kukatizwa masomo wampungue mkono?!