BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ungo itapendeza Mkuu 😜😜
Ulikua unataka atumie ungo Mkuu?
Ulikua unataka atumie ungo Mkuu?
Angeweka Wakuu wa Wilaya na Mikoa wenye Sifa, asingekuwa anatatua mambo madogo madogo kama yale
Mkuu umemaliza uzi👍👍👍Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Anunue mahindi, mapapai na kupewa jogoo na mkungu wa ndizi.Utanzania taaabu kwelikweli
wewe ulitaka rais apande gari asimame kila kijiji atoe kichwa juu ya paa la gari?
Mmh..akili za kishabiki tu.Jumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.
Mama akomae na pipa tu.
Ngosha apumzike kwa amani, ila na ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana!
Chumvi nyingi Sana.Mkuu umemaliza uzi👍👍👍
Mwenda zake alikuwa na v8 karibu 100 magari ya matangazo na ya ulinzi.plus hela alizokuwa anagawa njiani.
Trip moja ya mwendazake ni sawa na trip zaidi ya 20 za Mama.
Mmh..akili za kishabiki tu.
Ukitaka usimamie nchi lazima tu upite barabara.
Soon mama ataanza.
Washaanza mkuuu.hata angetumia boda boda apande mshkaki na yule ADC wake halaf wale tiss woote awapandishe kwenye Toyo BADO WATU WANGEONGEAWabongo bhana Dah!!
ujinga ni kudhani ndege inabana matumizi kuliko zile gari.Ni wapi katika Katiba ya Tanzania iliandikwa kuwa ni lazima tu Rais wa Tanzania awe anachanganya different means of transport katika Utendaji wake?
Hayati Kawalemaza mno Akili zenu na kuwaaminisha kuwa kupanda Ndege ni Anasa wakati ukweli ni kwamba Yeye alikuwa hapandi mara kwa mara kutokana na matatizo yake ya Kiafya.
Ndege zipo na pia ni za Serikali hiyo hiyo anayoiongoza Rais Mama Samia hivyo akiwa anazitumia kwa Safari zake za mbali kila mara kuna tatizo gani?
Hivi nyie Wapuuzi na Majuha wachache mnajua maana ya Rais? Je, mnajua kuwa Rais ni Taasisi na kwamba Mama Samia anawajibika hasa kwa Taasisi hiyo, Watanzania na siyo kwa Mumewe na Familia yake nzima?
Unaumia kwa Pesa kutumika je, Wewe Bajeti ya Wizara inayosimamia Taasisi yake ya Ikulu na Yeye Mwenyewe Wewe unaijua hadi hizo Hela zikuume? Na nani kakudanganya kuwa Taifa likiwa Masikini basi njia Kuu ya Kudhibiti Bajeti ya Serikali ( Nchi ) ni Kumzuia Rais wa nchi asisafiri na Ndege?
Sasa nakusaidia tu Kukuambia ya kwamba Msafara wa Ndege wa Rais Samia una Unafuu wa Kibajeti kuliko uliokuwa Msafara wa Gari wa Hayati ambao ulikuwa ukichukua Gari kuanzia 25 hadi 30 zingine zikiwa na Mitambo ya Kivita, Silaha na Watu wengi ambao jioni wanasaini per diem zao.
Jitahidi sana kutumia vyema Akili zako.
Bi Mkubwa kutoka Chamwino Mpaka uwanja wa Kirumba fastaa dk 5 tu keshafika 😁Ungo itapendeza Mkuu 😜😜
Mkuu wa mkoa na wilaya +watendaji wengine wanafanya nini?Inasikitisha sana.Tangu aingie ikulu hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa tofauti na ule wa Uganda yeye ni ofisini tu atajuaje kero na maisha ya watanzania kiujumla? Hana uchungu na nchi kabisa.