Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Mkuu wa wilaya atasimamia SGR? Kiongozi Bora ni yule anayejishusha na kwenda kwa wananchi kujionea mwenyewe hali halisi na utendaji wa viongozi aliowateua! Wewe unadhani asipowatembelea hao wakuu wa mikoa na wilaya watafanyakazi inavyopaswa Siku zote??matokeo yake ndio yale ya wizi na ubadhirifu wa Mali ya umma!
one one
one one