Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
Yanakuja kwa road ila naamini Dodoma yapo na Dar yapo ila sio kila mkoa kama tulivyokuwa tunadanganywa zamani.Hivi kama akisafiri kwa ndege yale magari ya msafala yanakuja kwa road au kila mkoa yapo tu wakuu?
Sasa sijui Rais atumie usafiri gani yaaniWabongo bhana Dah!!
Mleta mada kataka kujua gharama zikoje, wewe unahamisha mjadala. Wewe ni wale shuleni mlienda kusomea ujinga.Jf kumbe ina vilaza kiasi hiki..Ndege ya Rais ilinunuliwa kwa ajili gani?
Ulitaka SSH apande bus la Mgamba ashukie nyegezi au?.
Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Tena na elkopita ya jeshi juu.Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Awamu ya tano ilikuwa na hesabu zisizo na maana yaani 1+1-1 = Na Sifa zisizo na tija. Rais anasimamisha gari toka Dodoma hadi Dar watu wote hawafanyi kazi wanajipanga Barabarani, Uchumi unasimama, Huku anamsafara wa gari 70.Jf
Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya serkali
awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya rais
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amupiga route kadhaa ndani na nje ya nchi
Usafiri unaotumika muda wote ni ndege pekee
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi