Jumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.
Mama akomae na pipa tu.
Ngosha apumzike kwa amani, ila na ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana!
Mara akiona papai anunue
Mara kuku,msafara magari mia kwa kweli Mungu mwema sana tulicheleweshwa mno
Wabongo ni wapuuzi sanaWabongo bhana Dah!!
Akitumia magali 60 x lita 300 = 41000000 milioni,Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Kwaio unafikir Rais Anasafir mwenyewe kwa kua kaenda na ndege acha ujinga mkuu kwa akili yako umeona watu wote alio kua anafatana nao hawato kuepo kama ataenda na ndege hujui kua ni lazima viongozi wawepo na ni lazima Wasafi kumfata RaisCheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
hapo bado wakati mwingine mwendazake jiwe alikuwa anaweka chopa juu.. Hapo hatujaweka gharama za RTO za kila mikoa akipita.. Hatujaweka gharama za wasafiri na malori kukaa pembezoni masaa hata matatu kusubiri msafara upiteAkitumia magali 60 x lita 300 = 41000000 milioni,
Akitumia ndege 300-200 watu 175 x laki tatu ni kama milioni 57000000 bado magali yatakuja na madeleva kuja kuendelea na huduma ya chini kwa chini ,
Sasa ongeza hayo magalibya chini yatatumia ghalama gani kila moja yakitangulia.
Umesahau na Helikopta moja juu inafuatilia usalama wakeJumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.
Mama akomae na pipa tu.
Ngosha apumzike kwa amani, ila na ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana!
Alikuwa anakutana na wananchi ana kwa ana na kutatua changamoto zao.....Marehemu aliyekua anatumia magari ndio alikua analifisi hili taifa kwakuwa msafara wake ulikua na magari mengi haikuwahi kutokea katika misafara ya viongozi wa nchi hii waliopita.
Utatuzi wa changamoto kwa wananchi anapokuwa anapita ulikuwa huoni!!??....Awamu ya tano ilikuwa na hesabu zisizo na maana yaani 1+1-1 = Na Sifa zisizo na tija. Rais anasimamisha gari toka Dodoma hadi Dar watu wote hawafanyi kazi wanajipanga Barabarani, Uchumi unasimama, Huku anamsafara wa gari 70.
Mwisho wa siku anasema anabana matumizi
Angeweka Wakuu wa Wilaya na Mikoa wenye Sifa, asingekuwa anatatua mambo madogo madogo kama yaleUtatuzi wa changamoto kwa wananchi ulikuwa huoni....