Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Wewe TIMING unaona kipi bora cha kubana kati ya gharama na muda?
Different na Kikwete, ambaye kila siku alikuwa kwenye safari za nje. Magufuli alikuwa mwenzetu. Hakujua kula nchi Kama wengine!!! Huyo mama anatumia Air Tz, she does not care, hela za Tanganyika hizo.Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
Different na Kikwete, ambaye kila siku alikuwa kwenye safari za nje. Magufuli alikuwa mwenzetu. Hakujua kula nchi Kama wengine!!! Huyo mama anatumia Air Tz, she does not care, hela za Tanganyika hizo.
Ni rahisi kuliko kutembea na ma v8 30 mengine ndani ni dereva tuu peke yakeItakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
Ni pesa zetu mkuu,usiguneWabongo bhana Dah!!
Pombe alitumia barabara lkn alitumia gar km khamsin hv namaanisha zilizo kwenye msafara moja kwa moja na zile ambazo zinazojifanya km hazipo kumbe zipo na zote hizo zina watu ambao wanachezea posho na mengineyo lkn dege linaruka peke halina escotItakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
...awethu!Na wakina mama huwa wanavimba miguu wakikaa sana.
Amandla....
Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Zile gari huwa zinakuja kwa road kawaida siku iyo ametua dar nkakakutana na zile gari za Rais morogoro baada ya yeye kutoka dom walikuwa wamechange Number plate ila nilizigundua kwa vile miongoni mwa izo gari ilikuwepo mnyama barrage Signal JammersHivi kama akisafiri kwa ndege yale magari ya msafala yanakuja kwa road au kila mkoa yapo tu wakuu?
Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Kumbuka anaenda na ndege lakini magari nayenyewe yanatangulia kumpokea kwahiyo gharama iko palepaleFikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Kumbuka anaenda na ndege lakini magari nayenyewe yanatangulia kumpokea kwahiyo gharama iko palepale
Ingekuwa nafuu kama ndege yetu ingekuwa kubwa kama Air force one ambapo magari yangebebwa nayenyewe humo humo..!
Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.
Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.
Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.
Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
Msafara wa V8 sitini (60) gharama zake huwezi linganisha na gharama ya kutumia Ndege anayopenda kutumia Rais SSH kwa kuwa gharama ya Airbus ni kubwa kulinganisha na hizo V8 kwa mfano
Mafuta ya ndege Mluko moja wa kwenda tu si chini ya lita 6,000 za mafuta kwa ndege anayotumia SSH x 2 =12,000 LT kwa sector DOM/MWZ/DOM
Kuna gharama za air navigation as per maximum takeoff weight of aircraft
Kuna gharama za Aircraft packing as per aircraft weight
Gharama ya handling eg swisport
In short kutumia barabara is cheaper than using A/C
Kwa mtu asiyejua lolote unaweza kumchota mawazo na akaamini usafiri aliokuwa anatumia Magufuli ni wa gharama nafuu. Ukitaka hoja yako iwe na maana weka gharama halisi za safari za Magufuli, na za huyo mama kwa ndege tujue ukweli. Kinyume na hapo endelea kulinda kaburi hapo chattle maana huna jipya.Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali....