Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Jamaa Angu unabishana Na Maiti? Nimekuelewa sana ulivyofanya uchambuzi wako pokea likes 1000
 
Kula likes buku mkuu
 
Jamaa ulivyomwambia akafanye utafiti ameishia kukutukana.Ukiwa mweupe kichwani lazima utukane tu
 
Of all those stats show me some where with 91 goals in one year calendar.
[emoji14]
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dunia nzima ipi?? sema msiofuatilia historia au watoto wa juzi ndio watasema messi is the best ever ila wanaojua mpira hawawezi support uongo huo nishasema messi ni bora kwa wakati wake yaani 2007-2017 hilo halina mjadala ila kusema all time ni uongo hivi messi anamuweza just fontaine??? embu tuweni serious kidogo kma umefutilia classic football 1950-90 niambie messi anamfikia nani kati ya hawa
1.pele
2.maradona
3.ferenc puscas
4. garrincha
5.zico
6. kocsis
7. telmo zarra
8 tostao
9 grzegorsz lato
10 Didi

be honest anamfikia nani hapo??? kma hujawahi hta kuwasikia basi ujue una haki ya kumsifi messi

huyo puskas kwangu ndio best ever yaani mechi 520 goli 520 ukizingatia akiwa na umri kma 26 alistaafu soka akarudi baada ya miaka 6 na akawa bado katika ubora wake hivi je angecheza hyo miaka 6 ingekuwaje sahivi?????

kuna kipa wao hungary anaitwa hidegkuti kma sijakosea mwaka 1954 ujerumani alikuwa anacheza zaidi ya namba 6 kwa mpigo yaani kuna mechi walizidiwa ikabidi aingie kama beki na akamudu bado akacheza kma mshambuliaji na akamudu then ndio mseme messi???

hayo ni matusi saa kwenye ulimwengu wa soka
 
mkuu fanya utafiti acha ushabiki kma magoli ni kipimo ndio ujue hakuna best scorer kma puskas maana ni mchezaji pekee ambaye mechi zake alizocheza zinalingana na magoli!!!!! ukizingatia alikaa nje ya uwanja kwa miaka 6 ina maana kma asingestaafu kisa vita puskas angekuwa na magoli zaidi ya elfu 1 ndio maana tuzo ya goli bora imepewa jina la PUSKAS kumuenzi gwiji yule afu nyie mnampamba huyo mchora tatoo!!!

enzi hizo la liga mechi 20 jamaa anatoka na goli kma 30 sembuse leo hii msimu moja messi anacheza game 70???? shida wengi humu mmeanza fuatilia mpira juzi tu mnakuja na mihemko messi hawezi mkuta hata beckanbeur aliyevunjwa mguu akacheza na mguu mmoja unavuja damu umefungwa ogo mkononi na wakashinda world cup au gunter metzer anacheza dakka 90 anachechemea na aliingia akiwa na magongo akayatupa akazama uwajani akapig goli bado anachechemea wakashinda UEFA na moechngladbach miaka ya 80 ndio xembuse messi!!!!???

kuweni na heshima vijana kwa legends wa soka acheni mihemko na ushabiki
 
Ronadinyo,Okocha na zidane wamemzidi messi mbali sana.
 
Maradona alipimwa mkojo Itaty akagundulika kutumia madawa yakuongeza nguvu,kwahiyo huwezileta rekodi yoyote yakujivunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…