Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Nikweri kamanda ata mimi sijawai shuhudia mchezaji kawapita difensi wa4-6! iz diego and messiah alone
Uliangalia game ya Atletico Madrid vs Bayern Munich pale vicente cal derona..28/4/2016....¿¡
 
acheni utani nyie kuna hawa watu hawa
gaucho
christiano ronaldo
zidane
wanajua kulikooo
 

Your comment is but a laughing stock! I respect both opinions as long as they remain personal! Its a sin against football to say Zidane beats Gaucho in any angle!
 
GREATEST PLAYERS OF ALL TIME

1-maradona=Argentina
2-messi=Argentina
3-Alfredo de stefano=Argentina
4-Zidane=France
5-Beckenbauer=Germany
6-Pele=Brazil
7-Johan Cruiff=Holland
8-Redondo=Argentina
9-Mario kempes=Argentina
10-Cr7=Portugal
 
Your comment is but a laughing stock! I respect both opinions as long as they remain personal! Its a sin against football to say Zidane beats Gaucho in any angle!

Ronaldino hafiki ht robo ya zidane,
 

😀😀 Messi na gaucho? upo dunia ya wapi ndugu? Yaani Sawa sawa na tyson umpambanishe na francis cheka... duh tumejaza mashabiki mandazi humu si mchezo..

Danhosnoop njoo uone KING anavyo-dhalilishwa na mandazi fans 😀
 
😀😀 Messi na gaucho? upo dunia ya wapi ndugu? Yaani Sawa sawa na tyson umpambanishe na francis cheka... duh tumejaza mashabiki mandazi humu si mchezo..

Danhosnoop njoo uone KING anavyo-dhalilishwa na mandazi fans 😀
Yeeah..!!! Gaucho ni mtu mwingine hata kama ww ni kitumbua fan,labda nikutoe umaandazi tu,gaucho ni kipaji asilia wakati messi ni zao la kuku wa kufugwa, pili jinsi ronaldinho alivyokuwa anaishi ni kipaji tu kilimbeba na laiti kama messi angeishi maisha ya gaucho type angelikuwa ameshafutika zama, magic ball control ,impossible bicycle kicks,back,shoulder,neck plus waist control & passing,usisahau kuvaisha viremba watu wa3 na kutegua watu viuno na nyonga kwa vyenga,teh
 
Sawa ila mimi kwangu Gaucho is the one and the only one true prophet of football

Maradona=Argentina
Messi=Argentina
Alfredo de stefano=Argentina
Zidane=Fance

Sijapata kuona players wenye kila aina ya sifa kama hawa tangia soccer lianze hapa ulimwenguni! Hebu kuweni wawazi,na acheni wivu wa kike eti kisa ni mafundi.

Huyo gaucho nachompendea anavyotingisha mauno na kukenua
 

😛😛😛😛 Ekibinda nkoi
 

kijana kwanza kuwa adabu,niombe radhi kwa kuniita shabiki mandazi,halafu pia jifunze kujibu hoja,sijakuambia unitajie msururu wa timu alizochezea maradona,kama msururu ni hoja basi maradona wako hamuwezi Nicholas Anelka!!kitendo cha kushindwa kujibu hoja yangu kinaonesha maradona wako ni mtupu!!
 

Tatizo wewe utakuwa BRN! Unakuwa na wivu na mtu ambaye unamwona kwenye TV na ambaye zaidi ya hapo hakuna la zaidi! Acha tabia za kishangingi.
 

😀😛 Hana lolote uyo dunia yenyewe haimtambui
 
Huyu jamaa hakunaga, mpira ulikuwa unampenda ni kama messi vile... dunia haiwezi msahau huyu jamaa EL DIEGO10S

 
Wengi wanafikia viwango vya feruzi au kuwa ma D Choka! mpira unataka zoezi! wao zoezi shida, madem ndio usiseme…… hebu aje Mrisho ngasa atuelezee kwanini hawafiki huko sababu hata kina Pelle hawakushikana mikono na Mungu! So ingewzekana hata kwa wao endapo wangekuwa na nia
 
Redondo wa kumfananisha na Zidane...Redondo yupo juu zaidi akiwa madrid zidane juve wamekutana mara mbili..zidane na edgar david walipotea zoote yule ni fundi sema media hazikuumpa attention kama hao wengine...Zidane ni kundi moja la Gaucho na Jay jay Okocha..
 

Naomba radhi...pia nimejibu hoja nzuri sana without annoying anyone, na huwa sikurupuki hovyo kama unavyofikiri....pia kwako wewe unaona msururu ktk timu alizocheza lakini dunia nzima inatambua mchango wake,, MARADONA ni jeshi la mtu mmoja ktk timu alizocheza...huyu mshikaji tutammiss sana, lakini yupo mbadala wake aliemwachia mkoba wake ni LEO10S..no doubt
 
Km ukilinganisha mpira wa zamani na wasasa utagundua kua zamani waliokua bora walikua wengi ukilinganisha na sasa...zamani kila mchezaji alikua anacheza kwa kuonyesha uwezo binafsi...siku hizi kuna teamwork.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…