The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Uliangalia game ya Atletico Madrid vs Bayern Munich pale vicente cal derona..28/4/2016....¿¡Nikweri kamanda ata mimi sijawai shuhudia mchezaji kawapita difensi wa4-6! iz diego and messiah alone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliangalia game ya Atletico Madrid vs Bayern Munich pale vicente cal derona..28/4/2016....¿¡Nikweri kamanda ata mimi sijawai shuhudia mchezaji kawapita difensi wa4-6! iz diego and messiah alone
Gaucho!!![emoji15] seriously??? For me Dinho hamfikii hata Zidane, and he is not even close to him. Juzi tu hapa Ronaldo(the real Ronaldo, not Cr7) alisema bila kupepesa macho kua Zidane is the best player he has ever played with. Mind you, Ronaldo kacheza na wote, Gaucho na Zizou
Your comment is but a laughing stock! I respect both opinions as long as they remain personal! Its a sin against football to say Zidane beats Gaucho in any angle!
acheni utani nyie kuna hawa watu hawa
gaucho
christiano ronaldo
zidane
wanajua kulikooo
Ronaldino hafiki ht robo ya zidane,
Kama unaongelea kufunga na kuchukua vikombe,kweli messi ni zaidi ila kama unaongelea MCHEZAJI MPIRA,GAUCHO kwa karne hii ya 21 mpaka sasa ni hakunaga,nenda heirlj channel pale YouTube,utakuta habari zao wote wawili halafu uje tena hapa, kwA pele na maradona ,yeyote Kati Yao anaweza kuwa mkali maana pele nae alikuwa mkatili uwanjani si kidogo,
Yeeah..!!! Gaucho ni mtu mwingine hata kama ww ni kitumbua fan,labda nikutoe umaandazi tu,gaucho ni kipaji asilia wakati messi ni zao la kuku wa kufugwa, pili jinsi ronaldinho alivyokuwa anaishi ni kipaji tu kilimbeba na laiti kama messi angeishi maisha ya gaucho type angelikuwa ameshafutika zama, magic ball control ,impossible bicycle kicks,back,shoulder,neck plus waist control & passing,usisahau kuvaisha viremba watu wa3 na kutegua watu viuno na nyonga kwa vyenga,teh😀😀 Messi na gaucho? upo dunia ya wapi ndugu? Yaani Sawa sawa na tyson umpambanishe na francis cheka... duh tumejaza mashabiki mandazi humu si mchezo..
Danhosnoop njoo uone KING anavyo-dhalilishwa na mandazi fans 😀
Sawa ila mimi kwangu Gaucho is the one and the only one true prophet of football
Maradona=Argentina
Messi=Argentina
Alfredo de stefano=Argentina
Zidane=Fance
Sijapata kuona players wenye kila aina ya sifa kama hawa tangia soccer lianze hapa ulimwenguni! Hebu kuweni wawazi,na acheni wivu wa kike eti kisa ni mafundi.
Huyo gaucho nachompendea anavyotingisha mauno na kukenua
😛😛😛We jamaa unanifanya nicheke tu,timu alizochezea hizo hapo! unafikiri pele huyu au mchezaji yeyote unayemfikiria?
1976–1981 Argentinos Juniors
1981–1982 Boca Juniors
1982–1984 Barcelona
1984–1991 Napoli
1992–1993 Sevilla
1993–1994 Newell's Old Boys
1995–1997 BocaJuniors
Ingia youtube ujionee, usipende kuhadithiwa
Maradona=Argentina
Messi=Argentina
Alfredo de stefano=Argentina
Zidane=Fance
Sijapata kuona players wenye kila aina ya sifa kama hawa tangia soccer lianze hapa ulimwenguni! Hebu kuweni wawazi,na acheni wivu wa kike eti kisa ni mafundi.
Huyo gaucho nachompendea anavyotingisha mauno na kukenua
Maradona=Argentina
Messi=Argentina
Alfredo de stefano=Argentina
Zidane=Fance
Sijapata kuona players wenye kila aina ya sifa kama hawa tangia soccer lianze hapa ulimwenguni! Hebu kuweni wawazi,na acheni wivu wa kike eti kisa ni mafundi.
Huyo gaucho nachompendea anavyotingisha mauno na kukenua
Mkuu vp aseeee upo??Messi is the greatest player of ALL TIME
kijana kwanza kuwa adabu,niombe radhi kwa kuniita shabiki mandazi,halafu pia jifunze kujibu hoja,sijakuambia unitajie msururu wa timu alizochezea maradona,kama msururu ni hoja basi maradona wako hamuwezi Nicholas Anelka!!kitendo cha kushindwa kujibu hoja yangu kinaonesha maradona wako ni mtupu!!