Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huesabii magoli bas hao ulowaongelea ni wa kawaida sana kwa kiumbe anaitwa gaucho, ronaldinho ni zawad kwa dunia ya soka toka kwa muumba wetu
Ronaldinho ndo bora yao wote.
Anafuata Zidane.
Anafuata ronaldo yule original
Halafu ndo wanafuata hao wengine
Kama unasemea nchini kwao Argentina,kweli ni wao vinginevyo hakuna kitu.............
WADAU WENZANGU HESHIMA KWENU!
1-LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA
View attachment 399998 View attachment 399999 View attachment 400000 View attachment 400001 View attachment 400003
2-DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY
View attachment 400004 View attachment 400010 View attachment 400011 View attachment 400009 View attachment 400008 View attachment 400005
Tangu soka lianze hapa ulimwenguni. Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Al maarufu LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA & DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY
Nataka tu niwakumbushe wadau wenzangu! Najuwa kuna wengine watakuja hapa na misemo tofauti tofauti na mada isemavyo flani anamagoli mengi la hasha! hapa hatuzungumzii wingi wa magoli bali tunazungumzia viwango bora vya mchezaji!
MESSI na Maradona wanajulikana ni wachezaji wa kipekee mno kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka, wamepitia wakati mgumu sana,
Tofauti na kipindi cha akina PELE Wamecheza katika kipindi ambacho watu hawakuwa wakijua sana mpira tofauti na sasa, na hata sheria zilikuwa laini Mno tofauti na sasa Sheria zimekuwa ngumu kitu kidogo filimbi, hebu fikiria kuwa kipindi hicho OFF-SIDE zilikuwepo za kumwaga , hata ukimpa mtu ki-pepsi ilikuwa ni poa tu, ukimpiga mtu push ya nguvu jambo la kawaida REFA hakufikirii kama sasa.....
Vile vile ufungaji ulikuwa ni mrahisi mno, magoli yalikuwa sio magumu kama ambavyo tumewashuhudia katika kipindi chao.
Pia ningeomba tuwe wakweli bila kuwa na ubaguzi wa aina yeyote ule.. eti kwa sababu huyu White tusimpe haki yake, eti kwa sababu huyu ni Black tusimpe haki yake..... No! hiyo haipo... na kama mtu huyo atachagua mchezaji kwa kigezo cha rangi ama utaifa wake basi huyo atakuwa si mshabiki haswaa wa soka. Kila mchezaji tumpe haki yake awe mweusi ama mweupe na vilevile taifa alikotoka.
Ahsanteni;
Black panther ,mbona hoja ya compact iko wazi sana?watu wanakuwa bora kwa vigezo maalum kwanza ulitakiwa utoke vigezo gani vilivyokufanya uwa weke hao juu na kuwataka wadau waweke wanaoweza kuwa beat hao.Kichwa chako kitakuwa kigumu kuelewa....nimekusaidia lkn naona bado unarudi pale pale! Pole sana
Nimeamia upande wako sasa ,am hooting for M and M!Mleta uzi kafafanua vizuri mno! Tatizo letu waaflika tunaangalia rangi ya mtu na utaifa wake, hii kitu mbaya sana inatuponza...
sasa wewe kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Maradona,mfalme wa soka,hata pele katupiliwa mbali?
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Messi,mfalme wa soka?
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Zidane?
Watanzania tunaongea mno without facts...kwakuwa bob marley kaongea na wewe ukaamini sindio?
Why Maradona and Messi wameshika no 1 ktk best Players in the world alaf Gaucho yupo wa 31 na still siku zinavyozidi kuloloma anaendelea kudrop? Usipende kuhadithiwa hakikisha mwenyewe......
Mkuu MDEGEREKO katoa ushauri smart yakuwa msipende kuhadithiwa nendeni youtube mkajionee wenyewe mtapata jibu.....
Hahahhavp uliwahi kumwona Edibily Lunyamila?maana huyo mess hata marekani hawamjui
Tuacha ubishi wadau Messi ni habari nyingine kabisaMessi is the greatest player of ALL TIME
Hahahahahaa embu kapitie mechi za hungary miaka ya 50 umuone njemba inaitwa ferenc puskas ndio urudi hapa kumsifia messiHakuna Kama Lionel Messi Lapulga
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sasa mkuu ulishasikia wataalam wanaojua soka ndio walimtawaza pele kuwa mchezaji wa karne ila KURA ZA INTERNET ndio akashinda maradona sasa je hapo kwa vigezo vyako nani ni bora??? Aliyechaguliwa na washabiki au na wataalam??He he he hee mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe,,,,,,,, hao hao wataalamu mkuu wanamtambua Mhuni Diego ndie baba lao after Leonel Mec. Uyo muzee analindwa kutokana na umri wake na kujipendekeza kwa mizungu. Ukitaka mzungu akupende mnyenyekee 2 kama anavyofanya pele.atakupa adi nyumba na kupewa umaarufu.
FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatestfootball player of the 20th century, announced at the annual FIFA World gala, held in Rome on 11 December 2000.[1] Diego Maradona andPele were joint winners of the award.[2][3]Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[2][3]
Since 1991, FIFA have had awards for FIFA World Player of the Year and they decided to bring in the new millennium by conducting a public vote to decide the FIFA Player of the Century. This was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.[4]
Sina haja ya kumaliza bundle langu what I know is lapulga is d baddest player I ever seen......Hahahahahaa embu kapitie mechi za hungary miaka ya 50 umuone njemba inaitwa ferenc puskas ndio urudi hapa kumsifia messi
Messi atastafu timu ya Taifa Bila kunyanyua kwapa Kombe la dunia😛😛Mkuu Watapata wapi facts...ukweli utabaki pale pale,wanajua yupi mkali wa soka ila hawataki kusema tu, maradona na messi kitu ingine hakuna wakuwakamata wafalme hawa
Duh kaz kwelikweli watanzania yaani unafanya conclusion hata puskas humfaham na hata huelewi kwanni fifa wamededicate tuzo za goal of the year kwa jina lake ????? Ushamsikia Telmo zara???? Kocsis je??? Kwa ufupi messi hamkuti hata zico afu mnataka kuconclude tu kisa umeangalia mpira enzi za messi??? Ni vzuri uka dedicate muda wako kuangali channel kma espn classics uone biography za hizo njemba nlizozitaja ndio uje na conclusion ila kma huwafaham then unajidanganya tu kuwa messi ndio best evaSina haja ya kumaliza bundle langu what I know is lapulga is d baddest player I ever seen......
Hao wengine I'd just a history
Sent From My Nokia Ya Tochi
Duh kaz kwelikweli watanzania yaani unafanya conclusion hata puskas humfaham na hata huelewi kwanni fifa wamededicate tuzo za goal of the year kwa jina lake ????? Ushamsikia Telmo zara???? Kocsis je??? Kwa ufupi messi hamkuti hata zico afu mnataka kuconclude tu kisa umeangalia mpira enzi za messi??? Ni vzuri uka dedicate muda wako kuangali channel kma espn classics uone biography za hizo njemba nlizozitaja ndio uje na conclusion ila kma huwafaham then unajidanganya tu kuwa messi ndio best eva