Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Huo mshangazi uache mkuu ! Hata hawa malaya wa kitaa wa kununua wana majanga kichizi sio wa kuzoea kabisa !!Inawezekana hizi ni ishara ili niwe nae mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mshangazi uache mkuu ! Hata hawa malaya wa kitaa wa kununua wana majanga kichizi sio wa kuzoea kabisa !!Inawezekana hizi ni ishara ili niwe nae mbali
Ukiona mauza uza tu yanatokea, huwa kuna nguvu ya ajabu ya kujaribu kuipinga"Eti nikaanza kukemea pepo"
Kwa kumtumia jina Gani?
Hata sijui, maisha yana sarakasi nyingi hasa katika utafutaji wa fedha na kimahusiano.haaa haaa, huyo shangazi au pepo?
😀 😀 😀 inawezekana mkuuHilo lishangazi litakua ni la humu JF,
Kuna vidada vichawi sana humu..
Mungu tuokoe.
Kwa jina la kinabiiUlilikemea kwa jina gani hilo pepo?🤣🤣🤣🤣
Huo mshangazi uache mkuu ! Hata hawa malaya wa kitaa wa kununua wana majanga kichizi sio wa kuzoea kabisa !!
Wanaume ndio tumeumbwa hivyoKinachonishangaza ni hii hali ya Wanaume kutaka kupita na kila skirt.
Mrudishie bia zake.Ijumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi.
Nikiwa maeneo ya kujivinjari, huku napambana na mitungi yangu, mara akatokea lishangazi la makamo. Akaomba tukae naye pale mezani, kwa sababu nilikuwa mwenyewe nikamkubalia.
Akaagiza raundi, tukawa tunaendelea kunywa; ile namtazama puani,nikamuona ameweka kipini; na mimi watu wanamna hiyo huwa nawaogopa sana, kwa sababu wanamna hiyo huwa ni makonkodi kwenye mahusiano.
Baada ya kulewa, lishangazi likaanza kufunguka, ''unajua nakupenda sana, sitaki uwe mbali na mimi, nataka angalau nizae na wewe, kwa sababu nina mtoto mmoja ana miaka sita, anatakiwa apate mdogo wake''
Nikafikiria, nikamwambia tutaongea muda utakaporuhusu, kwa sasa tunywe pombe tu. Tukawa tumekubaliana Jumatatu jioni ndio tukutane kwa mazungumzo.
Baada ya kulewa sana, kila mmoja akarudi alikotoka; sasa jana jioni kwenye mida saa mbili nikaamua nipumzike; kutokana na uchovu nikapitiwa na usingizi mkali, nikawa naota ninatembea sebuleni, ghafla nikakutana na mwanamke ambaye sijui ameingilia wapi, ile namshika mkono nikawa naogopa. Ikawa hiyo ndoto inajirudia rudia; kushtuka naangalia saa, ni saa tano usiku.
Ikabidi niamke nianze kulikemea hilo pepo; kufika saa tisa ikabidi nirudi tena kulala; mara nikaota ndoto ya namna ile ile, ila hii ya sasa, walikuwa wanawake wawili wamekuja kitandani kwa kunishtukiza, wanalazimisha kutaka mapenzi; ile wananilazimisha, nikawakimbia nikajikuta nimedondoka kwenye ngazi, ile napambana nifungue mlango, nikawa nawasikia wengine wako jikoni.
Nimekuja kushtuka mchana huu, nipo hapa napata kongoro huku nikitafakari hizi ndoto, na kwa nini zitokee nyakati hizi.
Nimeanza kwa kufuta namba ya yule binti nikihisi labda kuna koneksheni, au labda itakuwa ni magonjwa ya akili.
Karibu kwa mawazo.
Ya kuumbwa hivyoHongera ya nini 😀 😀
Nitamrudishiaje?, na kwa hizi ndoto sitaki kabisa kuonana nayeMrudishie bia zake.
Ni kweli ata kwenye maandiko imewekwa waziMwanamke ndiyo chanzo Cha ushetani.
😳😳
Inawezekana wewe, ukawa ndio yule lishangazi 😀Ya kuumbwa hivyo
Hahaha! Sisi wanaume tunapenda sana kula wanawake.Kinachonishangaza ni hii hali ya Wanaume kutaka kupita na kila skirt.
Huyo ni shaytan 😥Ni kweli ata kwenye maandiko imewekwa wazi
Anaweza kuwa Sky EclatHilo lishangazi litakua ni la humu JF,
Kuna vidada vichawi sana humu..
Mungu tuokoe.