Tangu tufahamiane naye, nimekuwa naota ndoto za ajabu ajabu

Mwanzoni umeanza kwa kusema li shangazi ulikutana nalo bar mkanywa gambe, mwishoni mwa hadithi yako ukasema utafuta namba ya huyo binti na sio tena lishangazi, unawezekana umeanza kuchanganyikiwa mwenzetu.
 
Si unajua ukiwa na miaka 60 na mwenzako naye akiwa kwenye miaka hiyo, kuitana binti au kijana ni kawaida?
 
Back
Top Bottom