Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Hilo sio kosa letu mkuu labda labda umuulize mungu babaKinachonishangaza ni hii hali ya Wanaume kutaka kupita na kila skirt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio kosa letu mkuu labda labda umuulize mungu babaKinachonishangaza ni hii hali ya Wanaume kutaka kupita na kila skirt.
😂😂😂 dada zetu wa humu wamewakosea nini?Hilo lishangazi litakua ni la humu JF,
Kuna vidada vichawi sana humu..
Mungu tuokoe.
😀 😀 😀Kwenye kukemea pepo hapo umetupiga mkuu au ulikuwa una rap
Alikunywa Sana huyu... Hangover nightmares..Bado hangover haijaisha, tulia kwanza ndio upost tena uzi mpya
Kwa nini isiwe chai?Chai.
Inawezekana, lakini kwa nini iwe ndoto za totoz tu?Alikunywa Sana huyu... Hangover nightmares..
Ndicho kitu Cha mwisho ulikuwa unakiwaza kabla ya kuzima...Inawezekana, lakini kwa nini iwe ndoto za totoz tu?
wewe kila siku visaKwa nini isiwe chai?
Kwa hiyo nisiwe na mashaka na huyo niliyekutana naye?Ndicho kitu Cha mwisho ulikuwa unakiwaza kabla ya kuzima...
Visa wanawakuta binadamu, na mimi ni binadamu 😀wewe kila siku visa
Hamna kitu chochote... Songa mbele.Kwa hiyo nisiwe na mashaka na huyo niliyekutana naye?
Ebu leta ushauri, kwa nini niote ndoto za namna hiyo?Mwana majimama
Jibu ni mchawi alishakuweka kwenye radar zake kivuli chako, ndio ashakupima na malaika wamejibu kwa jibu achana nae, namwambie live kuwa mizimu yako imemkataa na imemuona kwenye ndotoEbu leta ushauri, kwa nini niote ndoto za namna hiyo?
Inawezekana kuna tatizo, apa ni kukaa naye mbaliJibu ni mchawi alishakuweka kwenye radar zake kivuli chako, ndio ashakupima na malaika wamejibu kwa jibu achana nae, namwambie live kuwa mizimu yako imemkataa na imemuona kwenye ndoto
Ni kweli Kuna wanawake wanaIjumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi.
Nikiwa maeneo ya kujivinjari, huku napambana na mitungi yangu, mara akatokea lishangazi la makamo. Akaomba tukae naye pale mezani, kwa sababu nilikuwa mwenyewe nikamkubalia.
Akaagiza raundi, tukawa tunaendelea kunywa; ile namtazama puani,nikamuona ameweka kipini; na mimi watu wanamna hiyo huwa nawaogopa sana, kwa sababu wanamna hiyo huwa ni makonkodi kwenye mahusiano.
Baada ya kulewa, lishangazi likaanza kufunguka, ''unajua nakupenda sana, sitaki uwe mbali na mimi, nataka angalau nizae na wewe, kwa sababu nina mtoto mmoja ana miaka sita, anatakiwa apate mdogo wake''
Nikafikiria, nikamwambia tutaongea muda utakaporuhusu, kwa sasa tunywe pombe tu. Tukawa tumekubaliana Jumatatu jioni ndio tukutane kwa mazungumzo.
Baada ya kulewa sana, kila mmoja akarudi alikotoka; sasa jana jioni kwenye mida saa mbili nikaamua nipumzike; kutokana na uchovu nikapitiwa na usingizi mkali, nikawa naota ninatembea sebuleni, ghafla nikakutana na mwanamke ambaye sijui ameingilia wapi, ile namshika mkono nikawa naogopa. Ikawa hiyo ndoto inajirudia rudia; kushtuka naangalia saa, ni saa tano usiku.
Ikabidi niamke nianze kulikemea hilo pepo; kufika saa tisa ikabidi nirudi tena kulala; mara nikaota ndoto ya namna ile ile, ila hii ya sasa, walikuwa wanawake wawili wamekuja kitandani kwa kunishtukiza, wanalazimisha kutaka mapenzi; ile wananilazimisha, nikawakimbia nikajikuta nimedondoka kwenye ngazi, ile napambana nifungue mlango, nikawa nawasikia wengine wako jikoni.
Nimekuja kushtuka mchana huu, nipo hapa napata kongoro huku nikitafakari hizi ndoto, na kwa nini zitokee nyakati hizi.
Nimeanza kwa kufuta namba ya yule binti nikihisi labda kuna koneksheni, au labda itakuwa ni magonjwa ya akili.
Karibu kwa mawazo.
Huyo shangazi ulikutana nae akakutamkia anakupenda ameamua akujie kivingine katika ulimwengu wa roho.upo katika process ya kurogwa....Kaa nae mbali Sali sana pia soma neno sana piaIjumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi.