Nimependa uandishi wako.. 😄Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Kiki za hivyo bora nife masikiniNaona mtashangaa kua hio ni kiki 😀 😀 😀 maana majuzi niliona online kua akina Haji na mkewe wamekua nominated kwenye couple bora barani Afrika. Kingine ni kweli Haji ni mzaliwa wa Holland aka The Netherlands, alizaliwa huko wakati baba yake Sunday Manara akicheza mpira wa kulipwa kwenye timu ya Hercules ya Uholanzi kwahio lazima atakua na passport ya Uholanzi, ndio maana kuingia Europe anapeta tu tena kwenye nchi za Schengen anatereza tu.
Wanawake hawana fomula
Mimi ni muongeaji ila sikosi papuchi mtaani
Relax mkuu
Wale k*ma hawana fomula
Miaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980sHakuna aliyeongelea ngozi, lnina narafiki albinos wengi,babu Sikare,nilisoma nae Dakawa,Wale akina Possi nimecheza nao utotoni na walikuwa na magirlfriend tena warembo no dramas
Haji ana misifa sana.alikuwa anatutambia kuwa sio mtanzania,kazaliwa ulaya😃
Kuizima hoja ya mtoa thread weka evidences.. sio maneno matupu...otherwise anzisha thread yako wewe kuthibitisha.Miaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980s
Labda kama ulihadisiwa
😂😂😂 Form 6 una 26 duuhSema mimi kupigwa ilkua kwenye hesabu nilipo fika fomsix walimu wakawa hawanigusi, wananiambia wewe mkubwa bhana
Itabidi iwe Ivo au mufti😂Kuna padri muislamu?!
Mleta threads ni evidence ipi aliyoiweka mpaka umemuaminiKuizima hoja ya mtoa thread weka evidences.. sio maneno matupu...otherwise anzisha thread yako wewe kuthibitisha.
Kwa Nia njema tu.
Dah unamzeesha sana,we umesomaMiaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980s
Labda kama ulihadisiwa
Tulianza hiyo mid 1980,ila haya matukio ni ya 90,91Miaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980s
Labda kama ulihadisiwa
Dah unamzeesha sana,we umesoma
Tulianza hiyo mid 1980,ila haya matukio ni ya 90,91
Nimekuchallenge kwa sababu niliona picha ya manara akiwa mdogo mwaka 1978 ni kama alikuwa na mwaka hivi au miwiliDah unamzeesha sana,we umesoma
Tulianza hiyo mid 1980,ila haya matukio ni ya 90,91
Age Mate....Haji nilikuwa napiga nae Mazoezi Yanga Kids Jangwani.....1988 na 89...Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.Nukajikuta niko karibu na Haji
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi pamoja na kuanza mapenzi shuleni ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea MId 80s to early 90s tuelewane.
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare almaarufu kama Albino Fulani,msanii wa Hip Hop,alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi wamekulia Tabata magengeni nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali
Sio kweli, hana ukubwa huo unaotaka kumpa, mleta uzi yuko sahihi kabisa na story yake. Na wewe tuletee evidences za kuonesha ukweli wako.Miaka ya 1990's haji manara ameshamaliza form four, primary alikuwa miaka ya 1980s
Labda kama ulihadisiwa
Yah angekuwa hana umaarufu ungekuta tunakimbizana nae kupata mademu wa huku mtaaniYes wanambagua jamaa sema umaarufu tu unamsaidia
😹😹😹 Kumkimbia siwezi kuna muda mdomo wake unanifanya nicheke niongeze siku za kuishi wiii…!!!Sasa Wii hapa unataka tugombane au unigombanishe na kaka?😃
Ila kama ndiyo ana mdomo kumzidi Manara...hapana Wiiii...kimbia usiangalie hata nyuma😀
Ni umri mzurisana kama una hela ya kubadilishia mboga, kulala pazuri,family et all (na mengineyo)Na uzee huu🤣🤣🤣
Unapewa utamu unaenda kutangaza mtaa MZIMA kinacho fuata nini?
Deuces
Usikariri
Nina watoto kumi mpaka sasa
We endelea kukariri
Na kuna mapacha watatu wapo njiani wanakuja
Kamdomo kanamponza. Gubu lote lile nani atawezana nae?Yes wanambagua jamaa sema umaarufu tu unamsaidia