Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Huyo engineer wa hayo madarasa 0 kweli

Unaweka tiles za ninibwakati miguu ya madawati na viti ni ya chuma

Madirisha ya alluminium, madirisha ambayo yanafunguka nusu na ambayo hayaitaji usumbuf wakufungua mara kwa mara

Hapo barazani ilitakiwa aweke gypsum board na sio PVC
 
Daaah 😀😀😀
 
Daaah
 
Asante Dada Mkuu
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Kazi iendelee kwa kasi,
 
Huu uzi umekaa kimasikini sana , yani hayo mabanda ndio hayajawahi kuonekana tangu uhuru? labda uhuru wa burundi , kuna watu wamesoma shule kali tangu enzi hizo huwezi kulinganisha na hizo force accounts
 
Daaah,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…