Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Kwa sasa outflow ya walimu kutoka vyuoni ni kubwa sana,Huoni hata aibu kutaja hio figure mkuu ?
Walimu elfu 7 baada ya miaka mingapi..., (Hivi unajua tangu tupate uhuru kuna kipindi kila mwalimu mwenye cheti chake alikuwa darasani anafundisha) ? Au unadhani Madarasa ndio yanafundisha...
Serikali peke yake haiwezi kuwamudu wote