Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Wewe ndio utakuwa mpumbavu kwa taarifa yako hiyo pesa ni ya mkopo ndio maana ndugai anamnanga samia kwa nini ameenda kukopa pesa ya kujenga madarasa wakati wao bungeni wamepitisha tozo za miamala ya simu kwa ajili hiyohiyo.
Na kwa taarifa yako deni Ia taifa lililosababishwa na serikali ya ccm limefika tirioni 70
Fedha ya mkopo imejenga madarasa mengi zaidi ndani ya miezi miwili, na watoto wote wataingia madarasani. Hakutakuwa na second selection. Fedha ya Tozo tungejenga madarasa machache machache kila mwezi watoto wengi wasingeweza kuwa na madarasa ya kusomea. Ungeshauri kwa vile tumekopa na tunaendelea kukusanya tozo, basi fedha za tozo zitumike kulipia deni.
 
Ona aibu, mkopo ni wa Umoja wa Mataifa, Je ni nchi gani hiyo? Mkopo umetolewa kwa nchi zote kupambana na Corona. Kwetu tukaamua kujengea madarasa ili wanafunzi wasibanane na kuambukizana Covid.
Kama tumeuza rasilimali kwanini deni la taifa liongezeke si tushawapa cobalt unayoisema?
Acheni uzushi watu wanaakili

Hajaamua chochote, mkopo siyo wa Umoja wa Mataifa (UN haitoi mkopo) bali ni IMF na World Bank, na tutalipa na riba, na ndiyo maana wameanzisha tozo, tozo ni kwa ajili ya kulipia madeni, ni security ya mkopo if you like.
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Jenista anatisha kwa maneno,
 
Sawa laakini sio kila Mkoa au Wilaya kuna baadhi ya maeneo hayapo kabisa vado wanaugulia ya zamani sana.
 
hii nchi kwa akili hizi za mtoa mada ipingwe mnada tu mara ukatawaliwa na ngozi nyeupe kuliko black.
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Anasemaje pia kuhusu wale wabunge 19? Tungepata ajira za walimu wangapi kwa hiyo miaka mtano ya pesa znazopotea bure?
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Zingatia... Hatujawahi kupatwa na korona na IMF kutusaidia mkopo usio na riba na kutusimamia tuutumieje.

Ujinga wawatu hunistaajabisha sana!! saaana!!!
Haya madarasa ni muongozo toka IMF ndomana yamepigwa mpaka tiles! Shule hiyohiyo pembeni unakuta kadarasa hakana hata sakafu... mchicha unaota wakati wa likizo!!
Unasifu MTU kwa kukopeshwa na kuwa guided atumiaje hizo pesa za kusaidiwa?
Usimsifu tuu anayekimbia msifu zaidi anayemkimbiza!
Walimu wenyewe wananuka madeni,wananjaa wanaidai serikali mmmno hawalipwi!!!
Acheni uzuzu na upumbafu jingasana...
bora watuwajinga kadhaa ndio wapigwe mnada nchi iachwe nawachache wanaojielewa.
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Middle school niliyosoma 1964 ilikuwa nzuri sana kuliko hii unayoisemea. Secondary ilikuwa nzuri zaidi
 
Kwanza Shikamoo Mzee wangu,

Hizo zilijengwa kabla ya Uhuru Mzee wangu,

Hapo wamezungumzia baada ya Uhuru,
Marahaba, zilijengwa nyingi ila hatuna mtindo wa kukarabati majengo kila mwaka. Subiri haya majengo yapitishe miaka mitatu utayaona yalivyochoka. Hela ya repair and maintanance ya majengo inatolewa kila mwaka ila haionekani. mfano angalia majengo ya UDSM miaka kumi iliyopita yalikuwa ni machakavu mno, viongozi wanapenda sifa zaidi
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,

Unadhan Kwa miaka 60 ya uhuru kutokuwa na Madarasa ya Aina hii ni kosa la Nani?
 
Wapi mkuu nimeandika kibaya?
Kichwa cha habari na content iliyomo ni vitu viwili tofouti, hayo ndio madarasa ambayo hayajapata kuwepo tangu uhuru? Jifunze kuwa mkweli na uache kuandika mihemuko
 
Moshi kulikuwa na madarasa mazuri sana. Mleta mada hajafanya utafiti
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
ila maza anatisha
 
Yaani wewe mleta mada unafikiri Tanganyika ikiwa katika kipindi cha "post independence" hasa katika utawala wa Mwl. Nyerere, fursa, vipaumbele na changamoto zilizokuwapo kwa wakati huo zinafanana na hizi zilizopo hivi sasa? Na wala si kwa Mwalimu peke yake, bali pia katika vipindi vya tawala za Mwinyi, Mkapa na Kikwete, sitaki kumzungumzia JPM kwani naamini wapo katika awamu moja na SSH.

Vipindi vya tawala tofauti katika nchi ni sawa na ujenzi wa nyumba katika madaraja tofauti. Huwezi kumsifia fundi mpaka rangi kuwa yeye ndiye mahiri na haijawahi kutokea, na kusahau mchango wa wale waliomtangulia.

Kamwe haiwezekani kabisa. Akumbuke dari ama kuta anazopaka rangi hivi sasa zipo hapo kwa sababu ya umahiri wa mafundi wengine waliomtangulia na ambao pia walikuwa na vipaumbele vyao katika ujenzi wa nyumba hiyo.
 
Back
Top Bottom