Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Ndugu, hivi unawezaje kumlinganisha Mtoto anayezaliwa leo au mwenye Mwaka mmoja na Mtu mzima mwenye Miaka 6? Hivi hawa wanachofanana si ni kwamba ni Binadamu tu? Vingine vyote ni tofauti kubwa kabisa? Sasa vipi unalinganisha Tanzania ya Mwaka 1961 na Tanzania ya 2022?

Tuwe tunakaa na kufikiri cha kuandika kabla hatujaandika!
 
Ndugu embu tuambie kuweka marumaru kwenye darasa hilo moja na tiles, hio hela ingewekwa kwenye mfuko wa maendeleo ya mwanafunzi angepata madaftari mangapi?

Mbona tunakua maskini wa akili? Kujenga darasa kama hilo kijijini ambako mwanafunzi ataingia uniform inaviraka kila kona hio ina faida gani?

Tufanye mambo yenye tija. Tuende kwa budget. Sio kwa sababu hela ziko nyingi na kutaka kupata sifa ndo tufanye over doing
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Ndugu embu tuambie kuweka marumaru kwenye darasa hilo moja na tiles, hio hela ingewekwa kwenye mfuko wa maendeleo ya mwanafunzi angepata madaftari mangapi?

Mbona tunakua maskini wa akili? Kujenga darasa kama hilo kijijini ambako mwanafunzi ataingia uniform inaviraka kila kona hio ina faida gani?

Tufanye mambo yenye tija. Tuende kwa budget. Sio kwa sababu hela ziko nyingi na kutaka kupata sifa ndo tufanye over doing
Hizo pesa mbona zipo mkuu, Wacha watoto wafurahi na Tiles
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Prays and worship team in your level best
 
Mkuu jisemee wewe. Enzi shule zinagawanyishwa kuwekwa A B na C ndani ya shule moja ,shule nyingi zilijenga madarasa mapya
 
Marahaba, zilijengwa nyingi ila hatuna mtindo wa kukarabati majengo kila mwaka. Subiri haya majengo yapitishe miaka mitatu utayaona yalivyochoka. Hela ya repair and maintanance ya majengo inatolewa kila mwaka ila haionekani. mfano angalia majengo ya UDSM miaka kumi iliyopita yalikuwa ni machakavu mno, viongozi wanapenda sifa zaidi
Nimeelewa sana,
 
Unasifu madarasa ya mkopo? Unajua Serikali imetoa nini kupata huo mkopo? Unadangayika kirahisi sana wewe, Serikali imegawa cobalt ( moja kati ya rasilimali aghali na zinazotafutwa sana leo hii kutengeneza electric cars, cell phones, computer chips Serikali imegawia Mzungu karibia bure), Gold, Gas ili ujengewe cheap madarasa halafu unasifu?

Hayo madarasa hata kwa kodi ya kunywa bia tu tunayokatwa inatosha kujenga na zaidi, …
Huna uhakika na hicho ulichoandika.
 
Ndugu, hivi unawezaje kumlinganisha Mtoto anayezaliwa leo au mwenye Mwaka mmoja na Mtu mzima mwenye Miaka 6? Hivi hawa wanachofanana si ni kwamba ni Binadamu tu? Vingine vyote ni tofauti kubwa kabisa? Sasa vipi unalinganisha Tanzania ya Mwaka 1961 na Tanzania ya 2022?

Tuwe tunakaa na kufikiri cha kuandika kabla hatujaandika!
Itasadia tutambue Tulikotoka, Tulipo na Tunapokwenda
 
Nipo radhi nisome chini ya mwembe na kukaa juu ya tofari kama utanipatia waalimu wa kutosha kuliko Vice Versa...
 
Walimu elfu 7 wapya wanakuja andaa vyeti vyako
Huoni hata aibu kutaja hio figure mkuu ?

Walimu elfu 7 baada ya miaka mingapi..., (Hivi unajua tangu tupate uhuru kuna kipindi kila mwalimu mwenye cheti chake alikuwa darasani anafundisha) ? Au unadhani Madarasa ndio yanafundisha...
 
Back
Top Bottom