Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Hahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nimuonee wivu wa nini, tanua ubongo huoo.Punguza wivu ndg yangu utapata ugonjwa wa moyo
Kama ni wa kiume acha majibu ya kike.Jiue Kama vipi
Ulikuwapo wakati tunapata uhuru? Unajua shule za msingi zilikuwaje wakati huo hadi cheti cha darasa la saba (na la nane) kuwa kinatumika kuombea kazi? Unajua waalimu wa shule za msingi wakati huo walikuwa wanaweza kununua magari na pikipiki kwa mishahara yao tu?View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Ukipita katika shule,kulikojengwa madarasa mapya,kunapendeza sana.Shule zimependeza,hadi unatamani uwe mwalimu wa shule mojawapo.Mungu MPE uzima na umri mrefu ,Rais wetu,tuone mengi mapya.View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Ukitembelea shule,zilizojengwa hao madarasa,zinapendeza sana.Huu ni ubunifu wa Hali juu sana,sijawahi kusikia kama kuna nchi nyingine yoyote duniani,umefanya ubuñifu huu.Hongera Rais,hongera viongozi wetu wote.Yaani nyie mataahira kweli unafikiri mungeambiwa zinatumika kutoa elimu ya corona tu mngembishia? acheni ujinga kajioa kuwaeleza anazianyia ktu gani chamuhimu kwenu bado mnaongea utumbo nyau nyie
Jf imevamiwa na watoto siku hizi, yani tabu tupu.Njoo nikuchomeke basi
Kwani yule ngosha wenu muongo muongo alishindwa nininkujenga madarasa kama haya maana nayeye alikuuwa nakopa sana tuEti ametoa, kwani zile pesa ni zakwake? huu upumbavu ndo unawafanya watawala wajione miungu mtu akati wamepewa tu dhamana ya uongozi.
Yaani unapo mtukana mwalimu kwa maandishi kama hivi ni sawa na kumtukana mama yako mzazi na hasa unapatukana pale pa mama yako alipo kutolea.Yangekuwa yana maana ungeona watoto wao katika hayo madarasa ya UVIKO 19.
Kwakuwa ni ya kimsaada msaada na ni useless hutowaona watoto wao .
Kweli walimu wengi ni wapumbavu, wewe ukiwemo
Kuna watu humu hawajui tofauti ya Loan, Grant na Subsidies.... Ndiyo JF ya Siku hizi.Ficha ujinga wako...nani alikwambia hio ruzuku?na nani alikwambia haina marejesho wala riba?
I real miss the old JF, ilipokua na watu wanaojielewa, sio now days imejaa vichwa maji wasio na weledi..
Mama mwenyewe kaitisha Mkutano na ma camera akasema huu ni mkopo ila kuna Nyumbu wanasema ni ruzuku, tangu lini Bank zikatoa ruzuku? Hivi hua mnapata faida gani kusema uongo wa waziwazi?
Clip za mama zimejaa tele youtube akisema huo ni mkopo wa mashatri nafuu ila bado watu mnakomaa ni ruzuku...pathetic
Uko sahihi Tajiri la BitcoineSio tu ya Msingi na Sekondari hata chuo mkuu, Vyuo vingi vibovu