Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Katoa yeye au IMF Heb weka record zako sawa.
Ingekuwa ni IMF imejipendekeza mbona ndugai anamsema rais asiwaponde IMF kwamba wamejipendekeza kutupa mikopo, jamani mtu akifanya jema msifu hatakama humpendi.
 
Mama ajengewe sanamu pale posta, yule askari uchwara mwenye gobole astaafishwe
 
Kwani tangu tupate Uhuru tulishapata kukatwa tozo namuna hii?
 
View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,

Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,

Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wa
Mmeanza mapambio. Huo ni wajibu wa serikali kutumia kodi zetu vizuri na mikopo kuendesha nchi hamna cha ajabu hapo.
 
Back
Top Bottom