Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah shule gani hizo?We kwenye wapi ? Porini mkoloni alijenga shule the best hayo ni matakata tu
Sana aise, Mungu ambarikiMama yupo very focused.
Humu JF Kuna wapumbavu wengi sana, Nani amekuambia hiyo pesa ni mkopo???
Kwani kunaubaya kwa Shule za ViJijini kuwa bora kama za mjini kama anavyofanya Rais SamiaBila shaka mleta Uzi umekulia na kusoma vijijini. Pole
Hata wakati wa Magufuli majengo mengi ya shule za sekondari za serikali yalikarabatiwa...nilitembelea shule tatu Kati ya hizo na nikaona hivyo...View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Hata hiyo dhamana kapewa na nani kama siyo dola?
Nachomaanisha huenda huko kijijni kwao hakukuwa na madarasa kama hayo. Ila kwa mijini hayo madarasa yapo toka enzi za BWMKwani kunaubaya kwa Shule za ViJijini kuwa bora kama za mjini kama anavyofanya Rais Samia
Katoa yeye au IMF Heb weka record zako sawa.
Hao IMF wanatoa tu kwa mtu yoyote?mbona Magufuli alinyimwa?lazima tukubali Samia anatumia akili kidogo kuishi na Hawa WAZUNGU kuliko alivokuwa akifanya JPM
Hii nchi ni shamba la bibi ni kupiga pesaDhamana ya kukopa ni kupitia raslimali zetu adimu ambazo nchi hii imebarikiwa na Mungu.
Sasa hawa viongozi madhalimu mashetani na wezi wa kura wa ccm wanazitumia vibaya kuliingiza taifa kwenye madeni yasio na sababu
wakati wa uhuru?idadi ya watu ilikuwa wangapi?halafu teknolojia ya wakati ule ilikuwaje?je pia ubora wa madarasa haya unayoyasifia ikoje.pia tunahitaji idadi na uzuri wa madarasa au ubora wa elimu.labda utuambie baada ya uhuru elimu yetu ilikuwaje na sasa ikoje.View attachment 2059200
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wale waliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Tanzania wanaweza kukubaliana na Mimi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja na aina mpya kabisa ya Utawala na anafanya vitu kitofauti sana,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya madarasa ya aina hii elfu 18 yaani elfu 15 ya Sekondari na elfu 3 ya Shule za Msingi Shikizi,
Tunaamini, Madarasa haya yataongeza hadhi ya wanafunzi na walimu lakini pia yataamsha ari na nguvu ya Wanafunzi kupenda Shule na madarasa yao, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan na huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,
Shule yako haijakusaidia kitu, nahisi tupo level tofauti ungekuwa umefanya kazi at least miaka mitatu ungeelewa maana ya anachokifanya kwa kukopa au kuchukua grants na kuhudumia miradi mikubwa.Wewe ndio utakuwa mpumbavu kwa taarifa yako hiyo pesa ni ya mkopo ndio maana ndugai anamnanga samia kwa nini ameenda kukopa pesa ya kujenga madarasa wakati wao bungeni wamepitisha tozo za miamala ya simu kwa ajili hiyohiyo.
Na kwa taarifa yako deni Ia taifa lililosababishwa na serikali ya ccm limefika tirioni 70
Shule yako haijakusaidia kitu, nahisi tupo level tofauti ungekuwa umefanya kazi at least miaka mitatu ungeelewa maana ya anachokifanya kwa kukopa au kuchukua grants na kuhudumia miradi mikubwa.
Ila kwa namna unavyoargue wewe ni mjinga kabisa huna tofauti na mbwa tu subiri wenye akili wakuongoze sababu you are just a waste of sperms. Bora babako angepiga puchu bafuni.
Arguments za wachimba vyoo ndio unazileta JF badala ya kutumia shule uliyonayo sasa tofauti yako na wao ipo wapi? Kuna watu ukiwafahamu unajikuta unadharau hata ukoo wao unaaibisha wazazi waliokopa ada kukusomesha mtu mjinga namna hii.
Humu JF Kuna wapumbavu wengi sana, Nani amekuambia hiyo pesa ni mkopo???
Wapi huko?Mbona huyo mama anaongea kama kuna ugomvi vile