Unaona huo ni utawala Bora? Hivi uvccm mna Nini kichwani...Mkuu zile pesa angeamua kununua BARAKOA ingekuwaje?? Ndio maana wanasema ametoa kujengea hayo madarasa, maana bila amri yake huwezi chukua hizo pesa. Chuki kama hizi ndio mpewe NCHI??
Rais amepewa dhamana na wananchi, na analipwa Mshahara.
Kwa hiyo ukiajiri mhasibu au manager, inapaswa achezee pesa eeh?
Rais ni Mtumishi wa wananchi, Rais hatoi pesa yake mfukoni.
Eti angeamua kutumia kwenye seminar na Posho, ! Utumbo gani unaongea Wewe mnyonge