Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.

Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
 
Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.

Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
 
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Sisi tuko more advanced ..[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.

Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
Kuna sheria inasema tume ikimtangaza mshindi hakuna anayeweza kutengua matokeo! Hii inamaana si lazima kuhesabu kura kumpata mshindi! Maamuzi yote tume imepewa.
 
Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.

Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.

20220812_073628.jpg
 
Kiukweli hawo jamaa wameonesha kupiga hatua kubwa.

Lakini, mambo ya uchaguzi hayana kanuni za kudumu.
 
Hiyo sheria ndo iliyosababisha nifikie maamuzi ya kuacha kupiga kura
Hata mimi mwisho wa kupiga kura ilikuwa 2015. Yakifanyika mabadiliko ya kweli, nitarudi.

Ila kwa haya madudu yanayo endelea nchini! Aisee sitakuwa na muda wa kupoteza wa kupiga kura ambayo mwisho wa siku haitaheshimiwa na wenue mamlaka.
 
Back
Top Bottom