Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

Kwa wasiojua, Kenya mgombea binafsi wa urais yuko nafasi ya tatu kwa wingi wa kura, yale maneno ya ukabila ni ya kukaririshwa kwani wagombea wote wamepata kura nyingi kwenye maeneo ya mbali na kwao.
 
Tume yetu ya uchaguzi imejaa wabunifu wa kila namna uchaguzi kufanyika leo na baada ya saa moja matokeo ya raisi kutanganzwa ni kitu cha kawaida! Wakenya inatakiwa waje tuwapige msasa kwanza roho ya ustahimilivu na uvumilivu kama sisi mana inahitajika roho kubwa.
 
Kama Raila angekuwa ameshinda, matokeo yangekuwa yameshatangazwa two days ago.
Hizi delaying tactics hazina nia njema. There must be some cookings happening somewhere...
 
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.

Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Lissu alitakiwa auawe Dodoma saa 7 mchana, azikwe Singida saa 10 jioni.
 
Hata Marekani Rais angekuwa ameshatangazwa

Unajumlisha nini wiki nzima?
Mkuu, Kenya sio Marekani. Bado inajitahidi kutoka kwenye shimo la sthl countries. Tahadhari zaidi inahitajika katika mchakato na uhakiki wake. Uchaguzi mkuu ni zaidi ya zoezi la hesabu.
 
Mkuu, Kenya sio Marekani. Bado inajitahidi kutoka kwenye shimo la sthl countries. Tahadhari zaidi inahitajika katika mchakato na uhakiki wake. Uchaguzi mkuu ni zaidi ya zoezi la hesabu.
Kenya walijifunza baada ya wananchi kung'oa reli na kutishia mambo mengine, huko hawajalala.
 
Back
Top Bottom