Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

Kinachotumwa ni fomu ya matokeo iliyoasisiwa na mawakala na wagombea

Iko kidigitali zaidi bwashee usikariri
Kwahiyo anakaa na mkewe au mmewe na watoto kisha wanahesabu kura na kuziweka kiditari na wanachukua manati wanapopoa zinafika Dodoma! Asante kwa ubunifu wako, ila nimekuambia masanduku ya kura ni zaidi ya pesa.
 
Thamani yake ni kabla ya kupiga kura ndio sababu Halima Mdee wa Chadema alikamatwa pale Kawe

Ukishapiga kura na zikahesabiwa ndani ya kituo ndio imetoka hiyo ndio sababu Chadema huwa wanagaragazwa kila mwaka coz hawanaga mawakala wa kutosha
 
Sasa nimekuelewa baada ya kuingia ukurasa mpya.
Asante.
 
Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.

Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
😂 😂
 
Acha uongo wako na uzandiki, wenyewe wamajiridhisha pai na shaka. Kwenu ni mtindo wa kukusanya maboksi ya Kura na kujifungia kuhesabu gizani.
Kura zinahesabiwa vituoni sasa kinachochelewesha ni nini?

NEC wako vizuri sana katika eneo la kuhesabu kura
 
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Kwa mtindo wa kupita bila kupingwa.
 
Kwa mtindo wa kupita bila kupingwa.
Kheri ya hiyo ya kupita bila kupingwa kuliko la polisi kuwakamata wapiga kura, mawakala na viongozi wa upinzani bila sababu na hata wengine kuuawa.
 
Back
Top Bottom