Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sisi tuko more advanced ..[emoji23]Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Kuna sheria inasema tume ikimtangaza mshindi hakuna anayeweza kutengua matokeo! Hii inamaana si lazima kuhesabu kura kumpata mshindi! Maamuzi yote tume imepewa.Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.
Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
Nchi ni tofauti na klabu ya mpira ambapo kura zinapigwa na kuhesabiwa ukumbini.Hata Marekani Rais angekuwa ameshatangazwa
Unajumlisha nini wiki nzima?
Hiyo sheria ndo iliyosababisha nifikie maamuzi ya kuacha kupiga kuraKuna sheria inasema tume ikimtangaza mshindi hakuna anayeweza kutengua matokeo! Hii inamaana si lazima kuhesabu kura kumpata mshindi! Maamuzi yote tume imepewa.
Big YES!
Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.
Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
Wewe ni kati ya wachache waliotambua kuwa Tanzania maamuzi yao ni haki yao kura yako si haki yako.Hiyo sheria ndo iliyosababisha nifikie maamuzi ya kuacha kupiga kura
Kiukweli hawo jamaa wameonesha kupiga hatua kubwa.Huku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.
Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
Ni upuuzi tuNchi ni tofauti na klabu ya mpira ambapo kura zinapigwa na kuhesabiwa ukumbini.
Hata ukimtengua unaweka nani?Hiyo sheria ndo iliyosababisha nifikie maamuzi ya kuacha kupiga kura
Unawezaje kujumlisha kura ambazo haujaletewa kutoka wilaya ya Tanganyika?Ni upuuzi tu
Kujumlisha ni kule kule
Hata mimi mwisho wa kupiga kura ilikuwa 2015. Yakifanyika mabadiliko ya kweli, nitarudi.Hiyo sheria ndo iliyosababisha nifikie maamuzi ya kuacha kupiga kura
Kwani huko Tanganyika hakuna DED( NEC)?Unawezaje kujumlisha kura ambazo haujaletewa kutoka wilaya ya Tanganyika?
DED ndiye anayakusanya na kuyasafirisha masanduku ya kura?Kwani huko Tanganyika hakuna DED( NEC)?
Kumbe hujui hata hilo?DED ndiye anayakusanya na kuyasafirisha masanduku ya kura?
This is AFRICA, here we goooo
Kama ndivyo hivyo basi DED itamchukua mwezi kupita kila kituo na kuchukua makasha kisha ayapeleke Dar au Dodoma.Kumbe hujui hata hilo?