johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inamchukua Siku moja tu kwa sababu ana wasaidizi kila Tarafa Kata, Kijiji, Mtaa na KitongojiKama ndivyo hivyo basi DED itamchukua mwezi kupita kila kituo na kuchukua makasha kisha ayapeleke Dar au Dodoma.
Naona sasa unaandika bila kufikiri, haujui hayo makasha ni zaidi ya pesa.Inamchukua Siku moja tu kwa sababu ana wasaidizi kila Tarafa Kata, Kijiji, Mtaa na Kitongoji
Kinachotumwa ni fomu ya matokeo iliyoasisiwa na mawakala na wagombeaNaona sasa unaandika bila kufikiri, haujui hayo makasha ni zaidi ya pesa.
Kwahiyo anakaa na mkewe au mmewe na watoto kisha wanahesabu kura na kuziweka kiditari na wanachukua manati wanapopoa zinafika Dodoma! Asante kwa ubunifu wako, ila nimekuambia masanduku ya kura ni zaidi ya pesa.Kinachotumwa ni fomu ya matokeo iliyoasisiwa na mawakala na wagombea
Iko kidigitali zaidi bwashee usikariri
Thamani yake ni kabla ya kupiga kura ndio sababu Halima Mdee wa Chadema alikamatwa pale KaweKwahiyo anakaa na mkewe au mmewe na watoto kisha wanahesabu kura na kuziweka kiditari na wanachukua manati wanapopoa zinafika Dodoma! Asante kwa ubunifu wako, ila nimekuambia masanduku ya kura ni zaidi ya pesa.
kwa kweli. Advanced kiasi cha kujua mshindi kabla hata kura hazijapigwa.
Sasa nimekuelewa baada ya kuingia ukurasa mpya.Thamani yake ni kabla ya kupiga kura ndio sababu Halima Mdee wa Chadema alikamatwa pale Kawe
Ukishapiga kura na zikahesabiwa ndani ya kituo ndio imetoka hiyo ndio sababu Chadema huwa wanagaragazwa kila mwaka coz hawanaga mawakala wa kutosha
Mungu wa mbinguni akubarikiSasa nimekuelewa baada ya kuingia ukurasa mpya.
Asante.
Nakumbuka yule gagula wa Mbeya baada ya kupiga kura tu akajitangaza mshindi akiwa mbele ya masanduku ya kura.kwa kweli. Advanced kiasi cha kujua mshindi kabla hata kura hazijapigwa.
Polepole alikwisha tangaza ushindi miaka zaidi ya tisini ijayo! Cha kujiuliza ni kwanini tume iwepo kwa sasa badala ya kuundwa muda utakapofika?Huku mtu angekuwa kashaapishwa na kashafanya ziara za kushtukiza BoT
Sisi ni dunia ya pili kwenye nchi zilizoendelea kiviwanda halafu ni Donor country!π³
Acha uongo wako na uzandiki, wenyewe wamajiridhisha pai na shaka. Kwenu ni mtindo wa kukusanya maboksi ya Kura na kujifungia kuhesabu gizani.Hata Marekani Rais angekuwa ameshatangazwa
Unajumlisha nini wiki nzima?
π πHuku kwetu tume na polisi kwa kushirikiana na serikali ndiyo wanao amua wa kumtangaza.
Wapiga kura mnatumika kama kiini macho tu, kwa lengo la kuiaminisha dunia ya kwamba kumefanyika uchaguzi huru na wa haki.
Kura zinahesabiwa vituoni sasa kinachochelewesha ni nini?Acha uongo wako na uzandiki, wenyewe wamajiridhisha pai na shaka. Kwenu ni mtindo wa kukusanya maboksi ya Kura na kujifungia kuhesabu gizani.
Upumbavu ni mzigo wa peke yako
Kwa mtindo wa kupita bila kupingwa.Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Kheri ya hiyo ya kupita bila kupingwa kuliko la polisi kuwakamata wapiga kura, mawakala na viongozi wa upinzani bila sababu na hata wengine kuuawa.Kwa mtindo wa kupita bila kupingwa.
Naona haujamuelewa, wote mnaongea lugha moja ila kwa kutumia mitindo tofauti.Upumbavu ni mzigo wa peke yako
Kisha mtuletee taarifa nasi tutalifanyia kazi.Rais Samia: Hilo nalo nendeni mkalitizame