Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
-
- #41
Alisikika mama akisema."Pigeni kura vyovyote mnavyopenda lakini serikali tutaunda sisi"
Lissu alitakiwa auawe Dodoma saa 7 mchana, azikwe Singida saa 10 jioni.Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.
Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Mkuu, Kenya sio Marekani. Bado inajitahidi kutoka kwenye shimo la sthl countries. Tahadhari zaidi inahitajika katika mchakato na uhakiki wake. Uchaguzi mkuu ni zaidi ya zoezi la hesabu.Hata Marekani Rais angekuwa ameshatangazwa
Unajumlisha nini wiki nzima?
Kenya walijifunza baada ya wananchi kung'oa reli na kutishia mambo mengine, huko hawajalala.Mkuu, Kenya sio Marekani. Bado inajitahidi kutoka kwenye shimo la sthl countries. Tahadhari zaidi inahitajika katika mchakato na uhakiki wake. Uchaguzi mkuu ni zaidi ya zoezi la hesabu.