Pesa zinatoka dar kujenga mji mkuu Ddma sasa dodoma kwanza miradi alianzisha Magufuli Kibamba mtasoma namba
Barabara ni mbaya zaidi ya mbaya. Usafiri wa public ni mbaya sana tena sanaPesa zinatoka dar kujenga mji mkuu Ddma sasa dodoma kwanza miradi alianzisha Magufuli Kibamba mtasoma namba
Hata ile ya kuelekea makabe mpaka msakuzi ovyo kabisa,Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
Kumbe huko haijawa mbaya zaidi? Ebu pita hii ya mbezi high ndo utajua barabara mbaya zaidi zinavyofanana. Hii ni hatari mnooo.Hata ile ya kuelekea makabe mpaka msakuzi ovyo kabisa,
Na mvua hizi hali itakuwa mbaya zaidi
Ova
Hapana, hizi tunazoongelea ni za Tanroads.Hao ni Tarura
Una uhakika hiyo ni ya Tanroads?Hapana, hizi tunazoongelea ni za Tanroads.
tusiwe tunalaumu tu tujufunze kushukuru piaHali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
Una uhakika hiyo ni ya Tanroads?
Hao ni Tarura
hawahusiki siyo awahusikiHapana,
Barabara ya Mbezi High kwenda kuungana ba Kibamba Mpiji mwelekeo wa Bunju ni Tanroad , Same Goba , Maramba - Kinyerezi nk..
Tarura awahusiki mkuu
Njooo ukonga uone Palivyo. Banana - kitunda_ kivule_ msongola mama YANGU. KUTUNDA _ kibeberu_ magole. Maweeeeee.BANANA HADI PUGU ( BARABARA YA NGOMBE AU ZAMBIA) , MY GODHuku kimara ni kama hakuna serikali..
Mi huwa nawaza kama hapa tu mjini wameshindwa mambo yako hivi,kuweka miundo mbinu bora nchi nzima itachukua miaka 1000 chini ya hawa maccm.
Mbunge wenu shoga mnategemea nini? Si ndio huyo anataka bei ya mafuta ipandishwe?Hujazunguka jimbo la ukonga wewe
Mumeambiwa iwekwe 💯 kwenye mafuta mjengwe Barabara za Dar hamtaki,komaeni hivyo hivyo na Jiji lenu la uswazi lenye msongamano.Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.