kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Kibu ndiyo kafungisha au?Kocha alibugi sana kuanza na Kibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu ndiyo kafungisha au?Kocha alibugi sana kuanza na Kibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!!Magufuli alitaka kukabidhi Taifa Stars kwa JWTZ watu tukamuona mjinga, sasa naona umhimu wa kuyapitia mawazo yake.
Huyu kocha asipotimuliwa sijui
Ole Gunna🤣🤣Ili aletwe Zidane ?
Free agent, hana timu kwa sasa.Huyu kipa wa DRC anacheza ligi gani wakulungwa..!?
0-2Kwani ni ngapi kwa ngapi?
kocha ni mzuri ila michezaji ndo hovyo.Huyu kocha asipotimuliwa sijui
goli la mimba labda!Unataka tupate gori la nini sasa
🤣🤣Ole Gunna
Hahahaa akiwa na kundi lipi mkuu? Matchatcha au loketo?Jana Diblo Dibala akaenda hadi kutazama mazoezi lakini wapiii
Sala zimegoma 🤣🤣🤣Mmma nkamu