Tanzania 1 - 0 Afrika kusini, yatinga nusu fainali

Nimependa sana Elias Maguli kahojiwa kingereza yeye kajibu kiswahili.. watatafsiri wenyewe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hongera kwa team yetu ya taifa#uzalendoKwanza#
 
Hawa vijana inabidi kuwaponda mpaka wanachukua ndoo wakisifiwa wanalewa sifa hawa tushawasoma, tunzishe utaratibu wa kuwasifia baada ya michuano kuisha.
 
Magulification kawa man of the match ila nimeshangazwa zawadi ni 50 Dollar? au nimesikia vibaya ni elfu 50 dollars? ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…