Tanzania 1 - 0 Afrika kusini, yatinga nusu fainali

Tanzania 1 - 0 Afrika kusini, yatinga nusu fainali

Nimependa sana Elias Maguli kahojiwa kingereza yeye kajibu kiswahili.. watatafsiri wenyewe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa vijana inabidi kuwaponda mpaka wanachukua ndoo wakisifiwa wanalewa sifa hawa tushawasoma, tunzishe utaratibu wa kuwasifia baada ya michuano kuisha.
 
Magulification kawa man of the match ila nimeshangazwa zawadi ni 50 Dollar? au nimesikia vibaya ni elfu 50 dollars? ???
 
Oyoooooo
c0e2e42778d3e460fac569315a2b5c8a.jpg
Mkuu unatumia toleo la zamani unatakuwa kufanya update ili uenjoy full screen https://bit.ly/2n5MhHo
 
Back
Top Bottom