Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
 
Habari jf ,Ukitaka kulingoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali ,maono na Mwenye msimamo .Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1.Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

3.Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3.Wanapenda starehe sana

Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"

USSR
 
Awe kama magu lakini

1. asiwe muuaji.

2. mbambikiaji kesi watu,

3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),

4. Asiyeiba kura,

5. asiye piga watu risasi.
 
Bado unatamani rais muuaji katili kama lile jitu!
 
He was the only person ambaye angeweza kuiwekea Nchi hii kwenye ramani then ndio waje wengine!

My Mumy Samia is a good President but I think amekuja mapema sana!Natamani JPM angekufa 2024 hivi then Mama angekuja hapo Samia Suluhu Hassan!

Hawa wanaomsumbua Mama Serikalini labda wangekuwa wamepungua sana sana!

2030 we need a personality of JPM na kama CCM itataka kushinda!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hapana, Tanzania haihitaji rais aina ya hayati Magufuli. Yule alikuwa doa na unajisi kwa ardhi ya Tanzania; hususan jamii Watanzania wenye utu.

Kwa nini nasema hivyo?

1. Kama alikuwa "solution" hata kwa robo ya matatizo uliyotaja, na leo amekufa na yenyewe yapo - then he was, undeniably, a complete failure.

2. Kwa vile unakiri kuwepo kwa hayo matatizo na yeye hakuyamaliza na sasa hayupo wala hawezi kurudi tena; basi hata akija mwingine kama yeye ataishia kupata matokeo hayohayo, ni jina tu ndio litabadilika lakini kushindwa na matokeo vitakuwa vile vile. That's logic.

3. Lakini akija kiongozi wa ukweli, sio mtawala au dikteta kama hayati Magufuli, yeye ataweka Katiba nzuri, Sheria kali na za haki, mifumo thabiti na himilivu, mazingira na utashi - vitakavyosababisha mabadiliko ya fikra, utamaduni na matendo yenye faida, ufanisi na maendeleo ya kudumu kwa vizazi.
Huyu akiondoka mambo yataendelea vizuri, legacy itazidi kuimarika kwa vizazi vijavyo.
 
He was the only person ambaye angeweza kuiwekea Nchi hii kwenye ramani then ndio waje wengine!

My Mumy Samia is a good President but I think amekuja mapema sana!Natamani JPM angekufa 2024 hivi then Mama angekuja hapo Samia Suluhu Hassan!

Hawa wanaomsumbua Mama Serikalini labda wangekuwa wamepungua sana sana!

2030 we need a personality of JPM na kama CCM itataka kushinda!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Nakataa. Nadhani hizo ni hisia na matamanio yasio na uhai wala uhalisia chini ya jua.

Usisahau Mwendazake alikuwa na miaka 5+, lakini matendo na matokeo ya utawala wake ni hasi na fedheha kubwa kwa Taifa letu. Hatuhitaji hisia na hadithi zozote wakati kuna existing material facts.

Kwa sababu aliishi na tulimwona na kumjua hayati Magufuli 2015-2021; facts na evidences zilizoko hai nchini zinaipinga vikali propganda yenu na legacy yake fake.

Na hilo ndio la muhimu zaidi kuliko hisia na propganda.
 
Umesahau na haya;

4. Wengi wao ni Wezi. Yaani mtu akishika kitengo sehemu flani anawaza kuiba tu.

5. Wabinafsi. Wengi wao wanajiwazia wao na familia zao na si maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

6. Ni wanafiki. Kujua mtanzania anataka nini ni mtihani haswa. Mtanzania likiwaka jua analalamika. Ikinyesha mvua analalamika. Kiongozi akitekeleza mambo yaliyopo kisheria bado atalaumiwa tu.

7. n.k

Ila sidhani kama nchi ya Tanzania itakuja kufikia maendeleo ya nchi za wenzetu pamoja na kwamba tuna rasilimali nyingi.
 
Nakataa. Nadhani hizo ni hisia na matamanio yasio na uhai wala uhalisia chini ya jua.

Usisahau Mwendazake alikuwa na miaka 5+, lakini matendo na matokeo ya utawala wake ni hasi na fedheha kubwa kwa Taifa letu. Hatuhitaji hisia na hadithi zozote wakati kuna existing material facts.

Kwa sababu aliishi na tulimwona na kumjua hayati Magufuli 2015-2021; facts na evidences zilizoko hai nchini zinaipinga vikali propganda yenu na legacy yake fake.

Na hilo ndio la muhimu zaidi kuliko hisia na propganda.
Pia kipindi cha Magufuli ndio uchumi wetu ulikuwa kwa spidi ndogo zaidi kuliko cha Kikwete na Mkapa, aliharibu zaidi kuliko alivyosaidia
 
Awe kama magu lakini

1. asiwe muuaji.

2. mbambikiaji kesi watu,

3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),

4. Asiyeiba kura,

5. asiye piga watu risasi.
UNa ushahidi ?
 
Back
Top Bottom