Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Sahihi kabisa.Siyo kweli. Bali uongozi wa nchi unahitaji kipawa, busara, hekima, uvumilivu na ucha Mungu kwa matendo. Vitu vyote hivi mtu huzaliwa navyo.
Magufuli hakuwa na chochote kati ya hivyo ndiyo maana alitawala kqa UKATILI na kufanya mambo ya UKICHAA mengi hadi na yeye AKAFA kwa kulazimisha kupambana na COVID-19 kwa kujifukiza badala ya kutumia njia za kisayansi
Dawa ya hawa propagandists ni dose mathubuti ya UKWELI - asubuhi, mchana, jioni na usiku; siku ZOTE!