Tanzania bado kuna kundi kubwa la wajinga na wengi ni wasomi

Tanzania bado kuna kundi kubwa la wajinga na wengi ni wasomi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu.

Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi.

Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD.

Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli.

mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
 
2026 unaflex kutrade?
Takataka ghasia wewe
That is too low for you
 
tatizo wenu wabongo , mnauwezo mdogo wakuhimili criticism.. Being criticized haimaanishi haujui ila inamaanisha Kuna wengine hawaamini katika unachokifanya which is fair..kuitwa tapeli au mwizi Kuna kukera nini as long as unashinda katika unachoamini.?.Biashara na uwekezaji ni kama Imani za kidini ambapo Kila nafsi inauhuru wakuchagua na kuamini kile ipendacho na kutoa maoni yoyote katika kile asichokiamini..kama ukipingwa kidogo na kuitwa tapeli unashusha Uzi na kupata hisia Basi unasafari ndefu ya kuishi na sisi walimwengu..Kwa kifupi huna tofauti na ashura wa maji matitu.
 
Nilisikia mahali kwamba eti maana ya forex ni uuzaji wa kinyeo kwa bei ya jumla!

Unaweza kuwa hata bilionea!

Ukiuza kinyeo kwa milioni moja na nusu kwa wiki mara mwezi unakusanya sasampa mpaka unanogewa.
 
Back
Top Bottom