tatizo wenu wabongo , mnauwezo mdogo wakuhimili criticism.. Being criticized haimaanishi haujui ila inamaanisha Kuna wengine hawaamini katika unachokifanya which is fair..kuitwa tapeli au mwizi Kuna kukera nini as long as unashinda katika unachoamini.?.Biashara na uwekezaji ni kama Imani za kidini ambapo Kila nafsi inauhuru wakuchagua na kuamini kile ipendacho na kutoa maoni yoyote katika kile asichokiamini..kama ukipingwa kidogo na kuitwa tapeli unashusha Uzi na kupata hisia Basi unasafari ndefu ya kuishi na sisi walimwengu..Kwa kifupi huna tofauti na ashura wa maji matitu.