MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
choko choko muanze nyie alafu mseme tunawaonea wivu, huo wivu tunawaonea watu wanaokufa na njaa wakitegemea msaada wa chakula kwa mabwana zao, nyie pambaneni na hali zenu maana mmeyataka wenyewe
Kipindi kama hiki cha uchaguzi 'system' iliyo madarakani huwa inapanic sana na kuparamia kila kitu, chochote kitakachosaidia kurejesha uzalendo wa watu wake ikiwemo hata kuibua chuki dhidi ya majirani. Haya hutendeka kote duniani, hata Marekani mijadala ya ukuta wao dhidi ya Mexico huibuka kipindi cha uchaguzi.
Nategemea makubwa kuibuka kwa siku zijazo maana uchaguzi wenu wa kipindi hiki utakua na ushindani mkali sana ambao haujatokea siku nyingine huko, ndio mara ya kwanza mnapata mgombea wa upinzani aliyejasiri na anazingua kupita maelezo, niliona jamaa alivyochizi hadi kaweka mapingamizi dhidi ya mgombea wa CCM.
Hapo lazima mpanic sana......