Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hakuna mtanzania mwenye wivu na mkenya hakuna HiloRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Kwa lipi Hasa ambalo na kujivunia ambalo sisi hatuna .
Kinachofanyika Sasa Ni piga nikupige na siku zote nyie ndio waanzilishi wa haya Mambo
Sasa mkichokonolewa kidogo mnawashwa kweli kweli .
Tunataka win win situation
Sawa bwana nyng'au