Nyarupala
JF-Expert Member
- Jun 2, 2024
- 494
- 856
Habarini!
Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya juu au hyo huduma wanaitumia kwa kiasi kikubwa sana kuliko makabila mengine.
Mfano kwenye biashara ya pombe, wachaga hapa ni changanyikeni. Yaani Kuna wanaokunywa Kila aina za pombe including zile za Bei kubwa kubwa mpaka kwenye pombe za chini kabisa, they are active.
Ukija kwenye suala la biashara wanazofanya wachaga ni kianzia zile top kwa uchangiaji wa pato la taifa mpaka the lowest businesses kwenye uchangiaji wachaga wapi pia.
Ukija kwenye suala la starehe. Sote tunajua starehe ni gharama, ili uonekane unapenda starehe lazima uwe na pesa na kwenye starehe ndyo nchi inanufaika zaidi kuingiza mapato. Mfano kwenye hotels, mchaga hata kama pesa yake ni ya kuunga UNGA lazima atafanya vitu vya starehe tu ambavyo mishori wake ni kuingizia serikali mapato.
Ukija kwenye suala la kufanya kazi😛amoja na kwamba watu wengi wanaogopa kufanya kazi na wachaga kwa kuhofia kuibiwa lakini Hawa watu kazi wanafanya ase, Kuna muda huwa nawafananisha na wachina, hawachoki. Mimi binafsi Bora mtu anafanya kazi hata akiniibia najua ataiba kwa akili lakini unakutana na mtu ni mvivu wa kazi lakini anaiba kama kawaida, sasa kipi Bora hapo?