Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Mbona waDanganyika mna low IQ ivi. LDC sio forecast. Tanzania ni LDC ulie usilieNdo maana nimekuambia hakuna ulijualo!! How come utambie forecast na kuacha actual data?!
Hiyo report imejumuisha world bank, atlas, imf bla bla zote na kupata Tanzania ni LDCLook at you! Wakati World Bank walipanga hizo nchi kwa kuangalia GNI per Atlas Method, wewe unakuja na habari za GDP!!
Ngoja nikupuuuze manake you're wasting my time!!!
Acha umburula wewe!! Hivi kama data nyepesi namna hiyo unashindwa kuzielewa, ni kipi unakijua wewe?!Mbona waDanganyika mna low IQ ivi. LDC sio forecast. Tanzania ni LDC ulie usilie
Umeishia darasa la ngapi wewe?! Manake isije nikawa nabishana na mtu aliyeishia Darasa la Pili!Hiyo report imejumuisha world bank, atlas, imf bla bla zote na kupata Tanzania ni LDC
Wakenya wivu unawasumbuaPoleni sana majirani, sijui huwa mnakwama wapi, kila kitu mnaangukia pua.
Tanzania ni LDC ni IMF wamesema sio mimiAcha umburula wewe!! Hivi kama data nyepesi namna hiyo unashindwa kuzielewa, ni kipi unakijua wewe?!
Takwimu zinasema uchumi wa Kenya UNATARAJIWA kukua kwa 4.7% na sio UTAKUA kwa 4.7%!!
At the end of the day, inaweza kuwa 4.7%, or higher than 4.7% or BELOW 4.7%!!!
Sasa suala la LCD sio forecast ndo madudu gani hayo unaongea?! Kuna mahali nimesema LDC ni forecast?! We jamaa vp?!
Wakenya wivu unawasumbua
Ngoja nikupuuze, manake hakuna swali ninalokuuliza ukaweza kujibu kwa usahihi!!!Tanzania ni LDC ni IMF wamesema sio mimi
Wacha unafiki wewe hao IMF Kwani ndio walitupandisha status hadi watushushe?Poleni sana majirani, sijui huwa mnakwama wapi......kila kitu mnaangukia pua...
[emoji1787][emoji23][emoji1787]Tza,Benin low income, Seychelles, Mauritius middle income (IMF)
WB Tz and Benin are middle income countries, Seychelles and Mauritius are developed countries. Chagua upande unaokupa furaha.
Gnt
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Pains them fools a lot, more convinced todayWhere is Internet link? Seems Tanzania's middle income status pains u fools!
Unamaanisha nini ukisema GNI per Atlas method? Wewe ni mchumi kweli?Look at you! Wakati World Bank walipanga hizo nchi kwa kuangalia GNI per Atlas Method, wewe unakuja na habari za GDP!!
Ngoja nikupuuuze manake you're wasting my time!!!
Kinachokushangaza hapo ni kipi?! Hiyo GNI au Atas Method?!Unamaanisha nini ukisema GNI per Atlas method? Wewe ni mchumi kweli?
Unamaanisha nini ukisema GNI per Atlas method? Wewe ni mchumi kweli?
Hahahaha hivi huku si ndio penye ile largest port in Africa? π π πTanzania ni LDC ni IMF wamesema sio mimi
Pengine ulimaanisha GNI per capita using Atlas method? Kwa nini ulisema GNI per Atlas method? Kwa nini ulisahau kuweka neno "per capita". Unaelewa maana ya neno "per capita?"
Kwani per capita inapatikanaje kama sio kwa kuanza na GNI?! Btw, ina maana unataka kujificha kwenye typing error kwa kuandika "per" badala ya "by" kama ambavyo nimeandika kwenye posts zangu zingine za nyuma?Pengine ulimaanisha GNI per capita using Atlas method? Kwa nini ulisema GNI per Atlas method? Kwa nini ulisahau kuweka neno "per capita". Unaelewa maana ya neno "per capita?"
Unastahili kujua kuwa WB na IMF wanarank countries kwa kutumia GNI per capita. Hio Atlas method ni method tu ya kucalculate hio GNI per capita.Kwani per capita inapatikanaje kama sio kwa kuanza na GNI?! Btw, ina maana unataka kujificha kwenye typing error kwa kuandika "per" badala ya "by" kama ambavyo nimeandika kwenye posts zangu zingine za nyuma?!