Tanzania Demoted back to LDC Status

Tanzania Demoted back to LDC Status

Look at you! Wakati World Bank walipanga hizo nchi kwa kuangalia GNI per Atlas Method, wewe unakuja na habari za GDP!!

Ngoja nikupuuuze manake you're wasting my time!!!
Hiyo report imejumuisha world bank, atlas, imf bla bla zote na kupata Tanzania ni LDC
 
Mbona waDanganyika mna low IQ ivi. LDC sio forecast. Tanzania ni LDC ulie usilie
Acha umburula wewe!! Hivi kama data nyepesi namna hiyo unashindwa kuzielewa, ni kipi unakijua wewe?!

Takwimu zinasema uchumi wa Kenya UNATARAJIWA kukua kwa 4.7% na sio UTAKUA kwa 4.7%!!

At the end of the day, inaweza kuwa 4.7%, or higher than 4.7% or BELOW 4.7%!!!

Sasa suala la LCD sio forecast ndo madudu gani hayo unaongea?! Kuna mahali nimesema LDC ni forecast?! We jamaa vp?!
 
Tanzania ni LDC ni IMF wamesema sio mimi
 
Tza,Benin low income, Seychelles, Mauritius middle income (IMF)

WB Tz and Benin are middle income countries, Seychelles and Mauritius are developed countries. Chagua upande unaokupa furaha.
Gnt

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Minyang'au haina taarifa we will be the last to laugh
 
Look at you! Wakati World Bank walipanga hizo nchi kwa kuangalia GNI per Atlas Method, wewe unakuja na habari za GDP!!

Ngoja nikupuuuze manake you're wasting my time!!!
Unamaanisha nini ukisema GNI per Atlas method? Wewe ni mchumi kweli?
 
Unamaanisha nini ukisema GNI per Atlas method? Wewe ni mchumi kweli?
GNI BY Atlas.png

Sasa nami nakuuliza: Ina maana umeshindwa hata ku-Google?!

Una lingine?!
 
Wakenya ni watu washamba sana, halafu mna husda kwa Tanzania.

LDC is a category created and managed by the United Nations DESA. Not IMF/WB
 
Pengine ulimaanisha GNI per capita using Atlas method? Kwa nini ulisema GNI per Atlas method? Kwa nini ulisahau kuweka neno "per capita". Unaelewa maana ya neno "per capita?"
Kwani per capita inapatikanaje kama sio kwa kuanza na GNI?! Btw, ina maana unataka kujificha kwenye typing error kwa kuandika "per" badala ya "by" kama ambavyo nimeandika kwenye posts zangu zingine za nyuma?
 
Kwani per capita inapatikanaje kama sio kwa kuanza na GNI?! Btw, ina maana unataka kujificha kwenye typing error kwa kuandika "per" badala ya "by" kama ambavyo nimeandika kwenye posts zangu zingine za nyuma?!
Unastahili kujua kuwa WB na IMF wanarank countries kwa kutumia GNI per capita. Hio Atlas method ni method tu ya kucalculate hio GNI per capita.

GNI per capita = GNI/ population.

GNI per capita, unachukua GNI kisha unaigawanya kwa population ya nchi fulani ili upate GNI ya mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom