Tanzania Economic Freedom Advocacy (TEFA)

Huwezi endelea kununua gesi uarabuni na india ilihali unayo hapa Tanzania
 
Kwamba gesi asilia ya Tanzania ni tofauti na ya nchi nyingine sidhani kama ni kweli

Kuna jambo unachanganya gesi asilia ina methane, maji, probane, butane, kwa pamaja refinery ndo inazitengeneza hizo sasa unasemaje haiwezekani ulichoandika sio sahii

Na kuhusu Benzene, Toluene, na Xylenes unanua malighafi inayoitwa naptha ambayo inazalishwa na crude oil refinery

Kumbuka naptha kwenye petrochemical plant kama raw material inaweza tengeneza
Probane, butane, ethane, benzene, toluene, xylenes
 
Kuna jambo amambalo unachanganya LPG kwa asilimia kubwa inazalishwa na crude oil refinery ila gesi zinazounda LIquified Petroleum gesi zinaweza pia kuchakatwa kwenye natural gesi refinery ambazo ni butane na probane kumbuka hizi ndo zinatengeneza LPG
 
Hatuna natural gesi refinery ndo maana mpaka sahivi serikali inatafuta mwekezaji sasa unavyosema zipo tayari unashangaza
Umeshawah jiuliza ile budget ya usd billion 40 ni ya nini kama kila kitu kipo unavyosema
 
Unapanga vizuri tu kumbuka natural gas refinery inatoa malighafi kama ethane ambayo inatumika na petrochemical plant kama malighafi
Uganda mwenye mafuta kashindwa kujenga refinery sababu ya gharama kubwa ndio maana kaamua a export mafuta ghafi ndio Tanzania tuweze ambapo mafuta yanapita tu toka Uganda kwenda nje

Gharama za kujenga refinery nchi yaweza filisika
 
Kwanza miundombinu ya maji machafu tu imetushinda !
Hiyo orodha ndefu tutaiweza ??!
Najaribu kujiuliza tu alakini 😳🙌
 
Ufafanuzi mzuri sana wa kitaalamu

Tundu Lisu na ujuaji wako na kelele zako za ooh gesi asilia umeeelewa mtaalamu alichoeleza?
 
Ufafanuzi mzuri sana wa kitaalamu

Tundu Lisu na ujuaji wako na kelele zako za ooh gesi asilia umeeelewa mtaalamu alichoeleza?
Kaelezea pumba dunia kote inajulikana gesi asilia inatoa malighafi kwa ajili ya viwanda vya petrochemical kama ethane, butane na probane
 
Kutengeneza drilling na refinery ya gesi asilia ni almost usd billion 40 zaidi ya budget ya Tanzania ya nchi kwa akili yako unamsuli wa kufanya hivyo kama nchi
Wale waliofanya kwenye Nchi zao waliipata wapi Hiyo misuli unayoiulizia ???!

Ndio maana pia Madini ya Dhahabu wakakubali waliokuwepo juu awamu zile kuyaachia yaende kwa kukubali Nchi ipewe asilimia kiduchu ! (3%) 😳

Mwamba alisemaga Tumepigwa !
 
Mwamba alianzisha mradi wa train ya umeme mpaka leo unatutoa damu kama nchi na hujafika hata usd billion 20 sembuse usd billion 40
 
At what percentage ? Ingekuwa rahisi na economically feasible kwanini hata Biogas zote tusibadilishe na kuziweka kwenye mitungi ? The whole thing itakuwa sio economically viable, ni cheaper na efficient kuitumia kama ilivyo (kama tungekuwa na infrastructure tungeipeleka mpaka kila nyumba kama mabomba ya maji. Ila next alternative is better tuipeleke sehemu moja au chache zikafue umeme.

Mkuu every conversion inatumia Nishati na hata kuifanya gesi asilia kuwa LNG ni sababu ya storage unaipressurize inakuwa liquid katika nyuzi joto ndogo ili uisafirishe kwa urahisi ikifika inapofika bila hio nyuzi joto ndogo inarudi kuwa gesi asilia na mwisho wa siku inatumika tena (mtiririko mzima unatumia Nishati ila bado ni economical kwa wanaonunua sababu wana uhaba wa Nishati tofauti na sisi wenye alternative)...

Mkuu issue sio kuweza kufanya bali je unachofanya kina make economical sense ? Is it sustainable ?!!

Unaongelea Hydrogen kama unaitaka sana kwanini hata wewe usitumie maji na electrolysis utengeneze hio hydrogen (ila bado utajikuta hata storage yake sio that easy na ni gharama)
 
Makampuni makubwa ya mafuta ya binafsi ya kimataifa ndio yenye uwezo wa kujenga refinery
Hakuna serikali duniami yenye uwezo huo

Hata uarabuni refinery zimejengwa na makampuni binafsi makubwa ya kimataifa
Hakuna nchi inayoshindwa kufanya lolote lile..., Miradi yote mikubwa kuliko yote lazima iwe na government / taxpayers money (hapa naongelea miradi kama ya NASA n.k.) kwahio nchi kukosa pesa hio sio sababu...

Issue ni kwa nchi kutumia taxpayers money kwa jambo ambalo halina tija hivyo kuchezea pesa za mlipa kodi; anachokiongelea does not make sense wala return on investment huenda isirudi na tuna better alternatives kama issue ni nishati (kupikia through umeme) na Nishati kuendeshea (through CNG / Gesi asilia).., Na kuhusu miradi na kukopa ngoja nikuulize....

 
Bado uko mbali sana kifikra sio kosa lako
 
Unafikra za kijamaa kila kitu ifanye serikali hakuna nchi dunia yenye uwezo wa kufanya miradi mikubwa peke yake hata china iliendelea kwa sababu ya wawekezaji kutoka nchi za magharibi kwenda kuwekeza china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…