mose
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 422
- 395
Kuanzisha mamlaka itakayohusika na upimaji wa makazi, ili kuhakikisha watu wanajenga kwa kufuata mpangilio ili iwe rahisi kuwasambazia gesi majumbani, na huduma nyingine za kijamii na itakuwa na kazi zifuatazo;-
Kupima nchi nzima. Kuhakikisha yeyote anayejenga anafuata mipango miji. Kuhakikisha kwenye miji, na vijiji kunakuwa na zoning na sio sasa unakuta gesti imejengwa katikati ya makazi ya watu. Kuhakikisha kwenye makazi yote kunapita miundombinu muhimu kama fiber, maji, n.k inapitak kwa kila mwenye nyumba. Kutoa elimu ya mipango miji na faida zake kwa wananchi. Polisi wa mipango miji watahakikisha wanaojenga wanafuata masharti na kuwatia nguvuni wote wanaojenga kiholela a.k.a wakaidi. Mapato yote ya majengo watakuwa wanakusanya wao.
Hmmm
VIWANDA NA MIPANGO-SHUGHULI
Haya ni mashauri nusu nusu ya Tekinokrasia...
Tekinokrasia inahitaji Fahamu na Mafahamu...
Tekinokrasia inahitaji 'Intelijensia' ili kuwepo na Meritokrasia katika utendaji mzima wa Kijamii...
Uadilifu wa Kimawazo ni jambo moja, kuyaishi ya uadilifu ni jingine.
Unapoyazungumza mambo ya mipango miji, hilo ni jambo linalokamilishana na mipango ya kimazingira.
Kiufundi, Ufahamu wa Mafahamu ya Mazingira ni mama wa yote--Intelijensia, Tekinokrasia na Meritokrasia...
Tekinokrasia pasipo Intelijensia kamili na Hekima ni upikaji wa pombe ya Ufashisti--Sumu kwa Amani na Haki juu ya Shauri la Maajilio ya Kijamii.
Mafikara yoyote yenye asili ya kufikiri watu wanaweza kutumika kama namna yakuufikia 'mwisho fulani' ni 'mtego' wa kimaadili na miiko kwa kheri na ustawi wa kweli wa jamii; kwa kuwa huo ndiyo mwisho wenyewe wa 'Uhuru, Udugu, Amani na Haki' yenyewe--manne yafanyo hatma za 'JAMII-MACHAGUO YA KITAASISI-MATUKIO-WAKATI...
Ndiyo, makazi ni ingilio la Utekinokrasia; hekima ya makazi ni jambo linalohusisha mipango ya kimazingira na udhamirifu wa huduma kwa wanajamii.
Ndiyo, huduma kwa wanajamii ndiyo haya ya Elimu, Afya, Uchukuzi na Nishati na Starehe; kitaifa na mifumo, ndivyo basi 'Utaasisi wa Nchi' ni shughuli ya kuwahudumia wanajamii kulingana na miundo na miongozo ya kiutawala: Mambo ya Sera na Sheria...
Ndiyo, Usawa kwa watu wote katika kustahiki huduma bora za Elimu, Afya, Uchukuzi na Nishati na Starehe ni shauri mtambuka katika sera zote na vivyo hivyo Sheria/Utawala wa Sheria.
Ni upofu kudhani vyombo vya dola vinaweza kutumika kwa shurti wakati wote ama kwa sehemu kubwa; Tazama upya kusudi la vyombo vya dola katika Udumishaji wa Uhuru na Umoja iwe kokote kule Tanzania ama Nchi zingine...
Mambo ya 'Utii Bila Shurti' ndiyo angalizo kuu kwa Utendaji wa Jeshi la Polisi katika sifa na hadhi ya Uadilifu, Maadili na Miiko; ambavyo jeshi hili huepuka 'Vishawishi na Majaribu' ikiwa Jamii yenyewe, kwa misingi ya miundo yake ya Utawala na Utendaji, kuna 'Mwangaza' wa kutosha kwa Dhamira ya Ujamii na Ustawi.
Tazama kwa karibu alama ya Jeshi la Polisi hapa Tanzania, kwa mfano: utaona dhahiri insignia yenye alama za 'Taji la Muktadha wa Utendaji' katika Fanusi ya 'Mwenge wa Uhuru'... Na tena Utaona Ualama wa Shoka, Mkuki na Nyengo... Na tena utaona Kauli Mbiu: Usalama wa Raia...
'Mwenge wa Uhuru' ni fanusi ya 'Elimu'--lakini hii Elimu si ile Elimu ya Kutengenezwa kiakili kwa madarasa na visomo tu; Elimu ni 'Mwangaza'... Mwangaza huu ni fanusi Jamii katika UPENDO-UZURI-NGUVU-SHAURI...
Ndivyo basi, ni vema kila mwanajamii mwenye nasibu ya siha njema na uungwana afahamu, kujifahamu asili ya Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu katika Utu wake na Jamii...
Ikiwa kwa mfano mambo ya Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu yanafanyika kufahamika ilivyo vema katika kila mwanajamii katika wito bora wa kiraia basi ndivyo hata yale yote yanayokuja katika nadharia za visomo jamii kuhusiana na Urazini yataleta ufunguo kwa mafahamu ya Meritokrasia na Mapungufu ya Tekinokrasia isiyo na 'Mafamamu;...
Binadamu ni kiumbe mwenye urazini; maana ya Urazini ni kwamba kila mtu anako kule kuweza kujiuliza uliza maswali na kujijibu mwenyewe hata kwa hatma za kuchagua na kujichagulia...
Nchi-Dola ni Utaasisi kwa ajili ya kutengeneza mazingira maridhawa ya wanajamii kuwa na Nuru Bora kabisa kuwezekana na basi kujichagulia mapito yake...
Hali kadhalika, kila mwanajamii analojukumu la 'Kujielimisha' mwenyewe na kuelimishana na wenzake kwa busara na Hekima.
Utaasisi na Wakati huleta mifumo; Mwangaza na Elimu hunyambulisha Miundo na Miongozo ya Utaasisi na kutengeneza nasibu ya Mageuzi ya Kiutu na Jamii. Kinachotangulia daima ni Mwangaza na siyo Mifumo; kujichangaya kwa ile namna ya kudhani mifumo ndiyo 'Mpango Mzima' ni kujidanganya na kudanganyika...
Basi ndiyo yawa, mipango miji ina mengi ya changamoto kwa kuwa Nuru ya Ufahamu kwa Mwangaza wa Jamii na Kijamii haitajengemaa katika akili na mioyo ya wengi. Kudhani kutumia sheria kali ama vyombo vya dola ndiyo unyooshaji wa mambo, kiufundi khasa wa mambo, ni unaivu wa kimifumo...
Kila mtu anaweza kudadisi Nadharia za watu na makazi kama ile 'Nadharia ya Umahala Kati' ambayo ndiyo hapa Tanzania tunaitumia kwa upangaji wa makazi na Maendeleo ya Miji... Siku za Mbele Kidogo tunakwenda kujiongeza kuhusiana na hili kwa kuwa 'Tekinolojia na Nishati' vipo katika mabadiliko.
Mengi yanayozungumzwa humu, kama hayapitii tanuru ya fahamu na mafahamu ya yanayoendelea katika Ukweli Mpana wa Mambo ya Dunia ni 'Mabatili ya Hoja' na Mivutano...
Tekinolojia na Nishati ndiyo chungu cha 'Statusi Kwou' ama 'Mapinduzi'...
Kwa hivyo, ni unaivu wa kimifumo kujidhamiria namna fulani ya Utaifa, Mipango na Unyoko pasipo na Uelewa, Busara na Hekima ya 'Mifumo inayotawala Dunia'--Intelijensia kamili...
Je, Nadharia za mategemezi inapelekea mashauri yepi inapokuja kwenye 'Uhuru wa Kweli' wa jamii yenye kudhamiria kujinasua na mitego ya kutumiwa na kutumika?
Hili ni mwanzo wa kutegua vitendawili vya 'Jeuri ya Pesa' na 'Mtama kwa Watoto'...
View: https://www.youtube.com/watch?v=JN6LlMY2ApQ&pp=ygURZGVwZW5kZW5jeSB0aGVvcnk%3D