Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hiyo budget ni ya kujenga LNG Plant sio ya Natural Gas Refinery. Natural gas Refineries zipo Mtwara na Lindi. Moja ipo Madimba na Nyingine ipo Songo Songo. Natural Gas Refinery ni kiwanda cha kuchakata gesi asilia ili ifae kwa matumizi. LNG Plant kazi yake kubwa ni kubadili gesi asilia kuwa kimiminika ili iwe rahisi kuisafirisha kwa njia ya meli.Hatuna natural gesi refinery ndo maana mpaka sahivi serikali inatafuta mwekezaji sasa unavyosema zipo tayari unashangaza
Umeshawah jiuliza ile budget ya usd billion 40 ni ya nini kama kila kitu kipo unavyosema
Hayo yote nilisha kueleza hapa:Kuna jambo amambalo unachanganya LPG kwa asilimia kubwa inazalishwa na crude oil refinery ila gesi zinazounda LIquified Petroleum gesi zinaweza pia kuchakatwa kwenye natural gesi refinery ambazo ni butane na probane kumbuka hizi ndo zinatengeneza LPG
Aliyesema kila kitu ifanye Serikali ni nani ? Hivi wewe na akili zako unaweza ukasema Nchi inashindwa ku raise funds?Unafikra za kijamaa kila kitu ifanye serikali hakuna nchi dunia yenye uwezo wa kufanya miradi mikubwa peke yake hata china iliendelea kwa sababu ya wawekezaji kutoka nchi za magharibi kwenda kuwekeza china
Kuna mambo mengi huyajuiAliyesema kila kitu ifanye Serikali ni nani ? Hivi wewe na akili zako unaweza ukasema Nchi inashindwa ku raise funds?
Na unadhani watu binafsi pesa wanatoa wapi kwenye briefcases ? Au na wao wanakopa tena kutumia mradi wako kama collateral ? Mkuu jitahidi kutafuta information na jielimishe hii ni karne ambayo information zipo wide open kukosa ufahamu ni uzembe...
Angalia hii diagram utanielewa namaanisha nini point yangu ni kwamba natural gas refinery inatoa ethane, probane na butane ambazo kwenye crude oil refinery unazipata kupita napthaHayo yote nilisha kueleza hapa:
Tanzania Economic Freedom Advocacy (TEFA)
Hivi ndio vioja badala ya kuelezea hayo ambayo siyajui wewe unaendelea kuelezea kwamba siyajui sasa huoni kwamba tunajaza posts bila sababu ? Kwahio tuanze kongelea ufahamu wangu.Kuna mambo mengi huyajui
Nimeshakuelezea ila umekataa kuelewa mimi nifanyaje ila taratibu taratibu utaelewaHivi ndio vioja badala ya kuelezea hayo ambayo siyajui wewe unaendelea kuelezea kwamba siyajui sasa huoni kwamba tunajaza posts bila sababu ? Kwahio tuanze kongelea ufahamu wangu.
Kuhusu ufahamu wangu ni kweli sifahamu mengi tu....
I am the Wisest Man Alive.., for I know One thing and that is I Know Nothing.....; Hence am more knowledgeable today than I was yesterday, kwa kuendelea kujifunza on a daily basis....
Unajua kitu kinaitwa comperative advantage ? Huo mradi wako wa kutengeneza hizo petrochemicals hata ukishakamilia return on investments na masoko inakuwaje ? Kumbuka hapo wengine hawaanzi kufanya production ili wapate hizo petrochemical products bali hizo ni kama wastes za kitu wanachofanya kwahio kwa kutengeneza kwao hizo ni kama ziada...; It's not a venture in itself....Angalia hii diagram utanielewa namaanisha nini point yangu ni kwamba natural gas refinery inatoa ethane, probane na butane ambazo kwenye crude oil refinery unazipata kupita napthaView attachment 3262315
Hakuna shida yeyote kama mikataba ingekuwa ni ya win win situation !Makampuni makubwa ya mafuta ya binafsi ya kimataifa ndio yenye uwezo wa kujenga refinery
Hakuna serikali duniami yenye uwezo huo
Hata uarabuni refinery zimejengwa na makampuni binafsi makubwa ya kimataifa
Vipi mkuu... gademit 🤣
Nikiona Jambo linalofaa kwako lazima nikutag...Vipi mkuu... gademit 🤣
Kabisa mkuu na ni mada nzuri mno .Nikiona Jambo linalofaa kwako lazima nikutag...
Tukae hapaBusara itakuwa ni kupeleka hio gesi kufua umeme ili watu wapikie umeme
Ni budget ya kujenga offshore drilling na refineryHiyo budget ni ya kujenga LNG Plant sio ya Natural Gas Refinery. Natural gas Refineries zipo Mtwara na Lindi. Moja ipo Madimba na Nyingine ipo Songo Songo. Natural Gas Refinery ni kiwanda cha kuchakata gesi asilia ili ifae kwa matumizi. LNG Plant kazi yake kubwa ni kubadili gesi asilia kuwa kimiminika ili iwe rahisi kuisafirisha kwa njia ya meli.
Hao TPDC, TANOIL au GASCO kipi cha maana walichofanya hawana mtaji wowote ndo changamoto yaoTukae hapa
@Meneja wa Makampuni
Upo wapi kati ya hizo taasisi ulizozitaja mkuu? GASCO, TPDC, TANOIL? Wamekufikisha uwanja wa nyumbani...shule kubwa nimepata
Unajua ukiwa na petrochemical plant unajua huitaji tena ku-import polythylene n.k kutoka uarabuni na tutakuwa tunawauzi nchi za sadc kumbuka hakuna nchi yenye petrochemical kwa nchi za sadc sasa unasemaje haina faidaUnajua kitu kinaitwa comperative advantage ? Huo mradi wako wa kutengeneza hizo petrochemicals hata ukishakamilia return on investments na masoko inakuwaje ? Kumbuka hapo wengine hawaanzi kufanya production ili wapate hizo petrochemical products bali hizo ni kama wastes za kitu wanachofanya kwahio kwa kutengeneza kwao hizo ni kama ziada...; It's not a venture in itself....
Ni kama wewe unapika chakula na kutoa moshi (Waste) lakini ukagundua kwamba hata ule moshi unaweza ukaukusanya na kukaushia nyama...
Mkuu, unataka kusema huko Songosongo na Madimba sio vitu vya maana? Si ni TPDC hao au?Hao TPDC, TANOIL au GASCO kipi cha maana walichofanya hawana mtaji wowote ndo changamoto yao
Hivi vitu vinahitaji fedha na sio maneno mengi
Saafi sana Sana, wekeni na website sasa. Kumeanza kuchangamka WallahTUNACHOPIGANIA SASA
Kwenye mradi wa gesi asilia ambao mazungumzo bado yanaendelea tunapendekeza mambo yafuatayo;-
- Mwekezaji asijenge tu kiwanda cha kuchakata gesi asilia (natural gas refinery), bali ajenge na kiwanda cha petrochemical kwa pamoja.
- Mwekezaji azalishe megawatts laki moja (100,000) za umeme kutoka kwenye gesi asili, na bidhaa zitokanazo na gesi asilia kama hydrogen. Zitasaidia kwenye ukuaji wa viwanda.
- Tanzania itafute mwekezaji wa crude oil refinery ambayo itakua Tanga pale ambapo bomba la mafuta la uganda litaishia kutoka uganda.
- Shule za msingi za serikali kuongeza wigo wa masomo ya kingereza (english) na kuwa matatu nayo ni kingereza, hesabu kwa kingereza na science kwa kingereza huku kiswahili kikifundishwa masomo mawili kiswahili na uraia-hii haitawaacha nyuma watoto wa kimaskin kama ilivyo sasa kwamba kuna watoto wanamaliza msingi wakiwa na msingi mzuri wa lugha ya kingereza huku wengine wakiwa na msingi mbovu wa lugha ya kingereza na mitihani iwe sawa kwa shule za msingi za serikali na binafsi ambazo sio za kimataifa.
- Kuanzisha mamlaka itakayohusika na upimaji wa makazi kama ilivyo TRA, tunapendekeza iitwe Tanzania agency of rural and urban planning (TARUP) itahakikisha watu wanajenga kwa kufuata mpangilio ili iwe rahisi kuwasambazia gesi majumbani, na huduma nyingine za kijamii na itakuwa na kazi zifuatazo;-
TEFA (Tanzania Economic Freedom Advocacy) ni wakina nani????
- Kupima nchi nzima.
- Kuhakikisha yeyote anayejenga anafuata mipango miji.
- Kuhakikisha kwenye miji, na vijiji kunakuwa na zoning na sio sasa unakuta gesti imejengwa katikati ya makazi ya watu.
- Kuhakikisha kwenye makazi yote kunapita miundombinu muhimu kama fiber, maji, n.k inapitak kwa kila mwenye nyumba.
- Kutoa elimu ya mipango miji na faida zake kwa wananchi.
- Polisi wa mipango miji watahakikisha wanaojenga wanafuata masharti na kuwatia nguvuni wote wanaojenga kiholela a.k.a wakaidi.
- Mapato yote ya majengo watakuwa wanakusanya wao.
Ni jamii yenye malengo ya kupigania Tanzania itumie rasilimali zake kiukamilifu ili kuondoa umaskini unaosumbua kaya nyingi.
MAONO (Vision)
Kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.