Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka raisi wetu Mstaafu Kikwete kusimamia uchaguzi, yaani nimesoma Gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lkn nimetafuta Jina la Tanzania yetu
bila ya mafanikio, jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.