Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
- Thread starter
- #61
Wewe ulipata Kiingereza marks ngapi? Kiingereza cha kuunganisha unganisha kina taabu....Soma kwa makini na uache uchonganishi....Hivi wewe unajua maana ya " East african presidents have been invited" ACHA UCHONGANISHI WEWE AU KACHUKUE KOZI YA ENGLISH UPYA.
Hata Afrikan Union AU na EU zimekuwa invited pia, wamealikwa Nchi 40, kwa hiyo sisi kundi na “ wengineo“ kama tu Mali au Burkina Faso ? Kwa maana wengine wametajwa specific kabisa kama Uganda!