Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema kwenye main list sijaona jina la Tanzania, Mbona Uganda imetajwa ?
Juu kabisa wameandika marais wa afrika mashariki wamealikwaKwa nini? Umeona jina la Tanzania kwenye article?
Unajua kusoma na unaelewa kimombo au ulikimbia umande? Link uliyoleta inasema:
Ruto, Museveni camaraderie
East African Presidents have been invited, with Uganda’s President Yoweri Museveni, Dr Ruto’s ally, expected to attend.
Kwenye link nchi zote za EAC zimetajwa under the umbrella of EAC. Si Congo, Rwanda wala Burundi zimetanjwa. Kama kuna link nyingine ambayo haitaji ungeleta hiyo link tukusomee tukutafsirie inaoneka kimalkia kinakupiga chenga.
NB: camaraderie means friendship. Jiongeze
Ndicho nilichomaanisha, zimealikwa nchi 40, kwa tuko kwenye “ wengineo“ kwa maana muhimu wametajwa kwa majina kama Uganda, Ethiopia, Ghana, AK au hata Urusi!
Huna akili.
Mstari wa kwanza kabisa unasema EAC afu bado unataka nchi moja moja itwaje.
"Also expected are representatives of the European Union" Hapa imetajwa European union as a whole nao utasema hawajaalikwa? au unataka orodha itaje nchi moja moja za Ulaya zote?
Unajua hiyo sio official invitation bali habari ya kwenye gazeti tu? Unajua kila nchi inapata mualiko wake kivyake?
Huko shuleni ulisomea ujinga?
Shida ni kiingereza au East African nations have been invited...hii kauli umeielewaje mkuu.Kwa Tz sio EA nation?Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka raisi wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi, yaani nimesoma Gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lkn nimetafuta Jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio, jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii
![]()
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Hujui lugha. Link yako inasema:
Ruto, Museveni camaraderie
Google maana ya hilo neno nilifanya kukusaidia kwenye last post naona huelewi.
Una upeo mdogo napoteza muda wangu. I'm out.
Shida ni kiingereza au East African nations have been invited...hii kauli umeielewaje mkuu.Kwa Tz sio EA nation?
Siasa za Tanzania zinaongozwa na vilaza watupu,yaani jirani yetu anapata kiongozi mwingine,kwanza tulichelewa kutoa pongezi,hats ya kinafki(,maana ccm ni pro baba,)pili tukaamua kusitisha kuuza mahindi Kenya!wakati huu jirani ndio ametoka kwenye uchaguzi! Na nchi ipo vulnerable!!sijuhi mshauri wa Samia ni nani?atakuwa Kile kituko Steve Nyerere!!?Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka raisi wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi, yaani nimesoma Gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lkn nimetafuta Jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio, jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii
![]()
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Naona ume-" read through the lines" badala ya "ku-read between the lines "...........Tanzania iko kwenye "East African presidents"😂😂😂...M7 ametajwa kutokana na ushikaji wake na the 5th🇰🇪n President....
Hahaha.........!Lakini Uganda imetajwa, au Uganda siyo EAC?
Na sisi tungetajwa kwa sababu Kikwete na Chande yule JM mstaafu walishiriki katika hatua nzito za UchaguziNaona ume-" read through the lines" badala ya "ku-read between the lines "...........Tanzania iko kwenye "East African presidents"😂😂😂...M7 ametajwa kutokana na ushikaji wake na the 5th🇰🇪n President....