Tanzania haimo kwenye Main List ya walioalikwa Kenya Uapisho wa Ruto

Tanzania wamuagize balozi nchini Kenya atuwakikishe. Mh Rais Museveni kaheshimishwa zaidi kuliko wengine wa EAC. Hili zoezi linaratibiwa na Rais anaye ngatuka. Na baada ya matokeo ya Chibugati na kesi kuandaliwa mlitahadharishwa nchi nyengine msiingilie mambo ya Kenya.
 
  • East African presidents have been invited.
Mstari wa kwanza kabisa unasema hivyo au TZ haipo EAC? Huko shuleni mlisomea ujinga?
Mkuu, 'Bufa', kwani Uganda haina "East African president"?

Nadhani umeshindwa kuelewa maana ya mleta mada.

Habari hiyo ilivyowasilishwa hapo ina ujumbe mahsusi uliolengwa..

Ninakubaliana na wanaohusisha ushirikiano aliopewa Odinga na hali hiyo.

Uganda, M7 alikuwa wazi yupo upande gani toka mwanzo, kwa hiyo hadhi yake katika mahusiano na mshindi ni tofauti na uhusiano wake nasi, huo ndio ukweli wenyewe.
 
Siasa za Tanzania zinaongozwa na vilaza watupu,yaani jirani yetu anapata kiongozi mwingine,kwanza tulichelewa kutoa pongezi,hats ya kinafki(,maana ccm ni pro baba,)pili tukaamua kusitisha kuuza mahindi Kenya!wakati huu jirani ndio ametoka kwenye uchaguzi! Na nchi ipo vulnerable!!sijuhi mshauri wa Samia ni nani?atakuwa Kile kituko Steve Nyerere!!?
Walijidai hawatafunga mipaka nimeshangaa sana kuona wanazuia mahindi. Kiukweli viongozi wetu hawajielewi
 
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.

Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.

Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!

Kwani umeshauna mkeka wa Laila? Subira yavuta heri subilini tutawaalika tu mje na baba Tifa (Diamond)wenu
 
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.

Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.

Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!

Mnajipendekeza tu, kenya jiwe ndo aliwaweza wakawa wanalialia tu
 
Mbona Mnalazimisha Mwaliko, Kule Mama Atakwenda Tu Bila Shaka
 
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.

Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.

Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!

Acha kukweza mambo, Kikwete hakuenda kusimamia uchaguzi wa Kenya, Kenya inaoaafisa wake wa Tume Huru ya Uchaguzi ambao hawana mamlaka ya kuwaambia wagombea wa upinzani kuwa hamtashinda, hivyo alikwenda huko kuangalia tu uchaguzi unavyofanyika, hata wewe ungeweza kwenda.
 
Mkuu, 'Bufa', kwani Uganda haina "East African president"?

Nadhani umeshindwa kuelewa maana ya mleta mada.

Habari hiyo ilivyowasilishwa hapo ina ujumbe mahsusi uliolengwa..

Ninakubaliana na wanaohusisha ushirikiano aliopewa Odinga na hali hiyo.

Uganda, M7 alikuwa wazi yupo upande gani toka mwanzo, kwa hiyo hadhi yake katika mahusiano na mshindi ni tofauti na uhusiano wake nasi, huo ndio ukweli wenyewe.

Unajua hiyo habari ni ya gazeti na sio official invitation?

Unajua mwenye gazeti anaweza kuandika kwa mpangilio wowote ule anaotaka?

Unajua kwamba invitation zinatumwa kila nchi kivyake?

Kasema nchi 40 zimealikwa je zote zimetajwa kwenye hiyo makala?

European Union wamealikwa je kataka nchi moja moja? Au sababu hajataja moja moja tuseme nao hawajaalikwa?

Vp Rwanda, Burundi, Congo wametajwa?

Kwanini mnaona ulazima wa kutajwa TZ in particular kwenye makala ya gazeti, mna uspesho gani?

FYI M7 ni rafiki wa karibu na Ruto so yeye sio kwamba amealikwa tu but is expected to attend let alone viongozi wengine wote, that's the main point there. Kama yai linapanda hili sio jambo gumu kabisa kung'amua.

Ruto, Museveni camaraderie​

East African Presidents have been invited, with Uganda’s President Yoweri Museveni, Dr Ruto’s ally, expected to attend.

SSH, PK wanaweza kutumua muwakilishi tu ila M7 is expected ni rafiki wa Ruto.

Cc Mama Pasco
 
EAST AFRICAN PRESIDENTS HAVE BEEN INVITED
Jamani wewe veeepe [emoji3062]
Mleta mada unatisha walahi uwiii [emoji35]
 
  • East African presidents have been invited.
Mstari wa kwanza kabisa unasema hivyo au TZ haipo EAC? Huko shuleni mlisomea ujinga?
Kama issue ni East African Countries mbona Museveni ametajwa ? Au yeye hayupo East Africa? Acheni hizo
 
Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.

Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.

Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!

Wewe ulipata Kiingereza marks ngapi? Kiingereza cha kuunganisha unganisha kina taabu....Soma kwa makini na uache uchonganishi....Hivi wewe unajua maana ya " East african presidents have been invited" ACHA UCHONGANISHI WEWE AU KACHUKUE KOZI YA ENGLISH UPYA.
 
Back
Top Bottom