Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mkuu, 'Bufa', kwani Uganda haina "East African president"?Mstari wa kwanza kabisa unasema hivyo au TZ haipo EAC? Huko shuleni mlisomea ujinga?
- East African presidents have been invited.
Walijidai hawatafunga mipaka nimeshangaa sana kuona wanazuia mahindi. Kiukweli viongozi wetu hawajielewiSiasa za Tanzania zinaongozwa na vilaza watupu,yaani jirani yetu anapata kiongozi mwingine,kwanza tulichelewa kutoa pongezi,hats ya kinafki(,maana ccm ni pro baba,)pili tukaamua kusitisha kuuza mahindi Kenya!wakati huu jirani ndio ametoka kwenye uchaguzi! Na nchi ipo vulnerable!!sijuhi mshauri wa Samia ni nani?atakuwa Kile kituko Steve Nyerere!!?
Kwani umeshauna mkeka wa Laila? Subira yavuta heri subilini tutawaalika tu mje na baba Tifa (Diamond)wenuHii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.
Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Mnajipendekeza tu, kenya jiwe ndo aliwaweza wakawa wanalialia tuHii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.
Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Acha kukweza mambo, Kikwete hakuenda kusimamia uchaguzi wa Kenya, Kenya inaoaafisa wake wa Tume Huru ya Uchaguzi ambao hawana mamlaka ya kuwaambia wagombea wa upinzani kuwa hamtashinda, hivyo alikwenda huko kuangalia tu uchaguzi unavyofanyika, hata wewe ungeweza kwenda.Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.
Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Najua unahofu ya kuikosa zawadi ya serehe, usiwe na hofu utaletewa tu zawadi yako ya sherehe.Mbona Tanzania haijatajwa kwenye main list?
Mkuu, 'Bufa', kwani Uganda haina "East African president"?
Nadhani umeshindwa kuelewa maana ya mleta mada.
Habari hiyo ilivyowasilishwa hapo ina ujumbe mahsusi uliolengwa..
Ninakubaliana na wanaohusisha ushirikiano aliopewa Odinga na hali hiyo.
Uganda, M7 alikuwa wazi yupo upande gani toka mwanzo, kwa hiyo hadhi yake katika mahusiano na mshindi ni tofauti na uhusiano wake nasi, huo ndio ukweli wenyewe.
Hio habari umeisoma?
Wadau mumusamehe bure huyu jamaa. kimekuja na meli[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mstari wa kwanza kabisa unasema hivyo au TZ haipo EAC? Huko shuleni mlisomea ujinga?
- East African presidents have been invited.
Kama issue ni East African Countries mbona Museveni ametajwa ? Au yeye hayupo East Africa? Acheni hizoMstari wa kwanza kabisa unasema hivyo au TZ haipo EAC? Huko shuleni mlisomea ujinga?
- East African presidents have been invited.
Wewe ulipata Kiingereza marks ngapi? Kiingereza cha kuunganisha unganisha kina taabu....Soma kwa makini na uache uchonganishi....Hivi wewe unajua maana ya " East african presidents have been invited" ACHA UCHONGANISHI WEWE AU KACHUKUE KOZI YA ENGLISH UPYA.Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.
Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Watu wengine wamekaa kishari shari tu. Kwenye akili zao zimejaa maboga tu.Asante maana Naona anazidi kupata mambumbu wenzake walahi
Hata kuapisha Rais wake?Kenya hawawezi kufanya lolote bila Tanzania.
Tukiwanyima chakula hawatapata nafasi ya kuapisha huyo Ruto.Hata kuapisha Rais wake?