Wewe ulipata Kiingereza marks ngapi? Kiingereza cha kuunganisha unganisha kina taabu....Soma kwa makini na uache uchonganishi....Hivi wewe unajua maana ya " East african presidents have been invited" ACHA UCHONGANISHI WEWE AU KACHUKUE KOZI YA ENGLISH UPYA.
Kama issue ni East African Countries mbona Museveni ametajwa ? Au yeye hayupo East Africa? Acheni hizo
Hahaha......Kama issue ni East African Countries mbona Museveni ametajwa ? Au yeye hayupo East Africa? Acheni hizo
Bwashee nitumie kadi ya mchango wa nauli!Nani aaalike ng’ombe??
Labda tatizo ni lugha, lakini gazeti limeandika "East African presidents have been invited". Je sisi hatuko east africa?Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi.
Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China, India mpaka Russia lakini nimetafuta jina la Tanzania yetu bila ya mafanikio.
Jamani tunakosea wapi? Dunia nzima imetajwa, sisi hola, uwiii!
President-elect William Ruto invites over 40 Heads of State for his inauguration
Museveni, one of the few leaders who have had phone conversation with Ruto, will attend.nation.africa
Mu7 hayuko EAC?Labda tatizo ni lugha, lakini gazeti limeandika "East African presidents have been invited". Je sisi hatuko east africa?
Wewe hebu acha kujiabisha na kuaibisha jukwaa letu,Hata Afrikan Union AU na EU zimekuwa invited pia, wamealikwa Nchi 40, kwa hiyo sisi kundi na “ wengineo“ kama tu Mali au Burkina Faso ? Kwa maana wengine wametajwa specific kabisa kama Uganda!
Niko eneo la tukio kitambo sanaBwashee nitumie kadi ya mchango wa nauli!
UKO NA POINT MKUBWA, WANAO KUBISHIA NI WALE WAPENDA KENYA KINDAKI NDAKI, KUFA DALALA NA KONDKTA WAKE WOTE, YAANI HATA KENYA IFANYEJE WAO NI HEWALA, IN REALITY HATUKO KWENYE WALE WAGENI WAALIKWA RASMI, SIS NI WENGINEO, MAANA UKISEMA EAC head of states invited, kwani MSEVEN hayumo EAC?Ndicho nilichomaanisha, zimealikwa nchi 40, kwa hiyo sisi tuko kwenye “ wengineo“ kwa maana muhimu wote wametajwa kwa majina kama Uganda, Ethiopia, Ghana, AK au hata Urusi na Qatar!
Kwahiyo michango haihitajiki?Niko eneo la tukio kitambo sana
Yooote uliyoandika huko juu ni kama umepoteza wakati tu, na hapa mwisho ukajijibu mwenyewe!FYI M7 ni rafiki wa karibu na Ruto so yeye sio kwamba amealikwa tu but is expected to attend let alone viongozi wengine wote, that's the main point there. Kama yai linapanda hili sio jambo gumu kabisa kung'amua.
Hii ni 'interpretation' yako tu, haina maana yoyote.East African Presidents have been invited, with Uganda’s President Yoweri Museveni, Dr Ruto’s ally, expected to attend.
SSH, PK wanaweza kutumua muwakilishi tu ila M7 is expected ni rafiki wa Ruto.
Yooote uliyoandika huko juu ni kama umepoteza wakati tu, na hapa mwisho ukajijibu mwenyewe!
Kwa hiyo hilo gazeti linajuwa urafiki uliopo kati ya hao wawili..., ndiyo maana Uganda imetajwa au siyo?
Sasa hoja yako uliyojenga hapa iko wapi?
Hilo gazeti liliokota tu taarifa mitaani na kuanza kuzipangilia lenyewe, au limepewa taarifa ambayo limeifanyia kazi?
Vipi, mkuu 'Bufa', mbona unataka tuonekane tusiokuwa na akili kwa jambo ambalo ni rahisi kuling'amua?
Hii ni 'interpretation' yako tu, haina maana yoyote.
No, it cannot be that way. It has to make sense.Whatever makes you happy mkuu.
Uganda imetajwa kwa sababu kuna matatizo kati ya Kenya na Uganda, kuna yale mambo ya kutoelewana yanayoendelea muda mwingi kati ya Museveni na Kenyatta. Pia angalia hiyo ni mambo ya gazeti na mwandishi ni raia wa Uganda, na anajua anachoandika. Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri, mnatrend na mipira ya simba na yanga na ujinga wa bongo movies. Panua uelewa wako kaka kijakazi.Hata Afrikan Union AU na EU zimekuwa invited pia, wamealikwa Nchi 40, kwa hiyo sisi kundi na “ wengineo“ kama tu Mali au Burkina Faso ? Kwa maana wengine wametajwa specific kabisa kama Uganda!
Rwanda, Burundi, Congo na South Sudan umeziona?Ndicho nilichomaanisha, zimealikwa nchi 40, kwa hiyo sisi tuko kwenye “ wengineo“ kwa maana muhimu wote wametajwa kwa majina kama Uganda, Ethiopia, Ghana, AK au hata Urusi na Qatar!